mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Ha ha ha nimependa hii style ya kung'oanikikuambia kwa hapa, wanga wengi.
Kwanza hebu nipe angalizo. Una kadalili kokote ka kunipenda au japo ka kunitamani kwa mbali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha nimependa hii style ya kung'oanikikuambia kwa hapa, wanga wengi.
Kwanza hebu nipe angalizo. Una kadalili kokote ka kunipenda au japo ka kunitamani kwa mbali?
Utafia pm we babu,lol
Ha ha ha nimependa hii style ya kung'oa
Kama ni mutual love...I love ALL JF MEMBERS jamani...!!!!
Ankal Kaizer ujue nakumiss eeeh... Babu Asprin nakupenda babu yangu, ila kuwa na subira, Mzee Mtambuzi hata mama ngina anajua nakupendaga, Jerrymsigwa shem langu la ukwenhe ushem haufi miaka mia.... Kaka zangu Excel, platozoom, Mwita Maranya niwahanchere!!
leo ndo nimethibitisha kuwa ni kweli hunipendi kama unavotangaza kwa mashosti zako. Mi ntakupenda tu mpaka Yesu atakaporudi.
Ankal Kaizer ujue nakumiss eeeh... Babu Asprin nakupenda babu yangu, ila kuwa na subira, Mzee Mtambuzi hata mama ngina anajua nakupendaga, Jerrymsigwa shem langu la ukwenhe ushem haufi miaka mia.... Kaka zangu Excel, platozoom, Mwita Maranya niwahanchere!!
Mimi nipo na vin diesel chama la kijani na njano! Nitoke ccm nimuache Vindiesel thubutuuuuu! Havui mtu gamba! Lol!
Babu badilisha njia ya mitongozo yako,wameishtukia wa akina Valentina.
mmh! naona kama vile WATU wanafahamiana vile toka kitaa...sasa sijui nimpende nani(voice wonder)...anyway mi ni mgeni hapa MMU but sio mgeni JF ha ha ha ha ha WAUNGWANA nikaribishe katika jamvi hili bandugu
Umeona eh. Hii mitongozo analogi hawa mabinti wa digitali hata hawanielewi. Ngoja nirudi kwa wake zangu cacico, BADILI TABIA na Kongosho nikaimarishe ndoa za ujana wangu.
kuna vichaa wangu humu wa 4
lara 1
Evelyn Salt
Dinazarde
miss neddy
NAHISI NI FAMILIA YANGU HUMU
Asprin
Mentor
The Intelligent
Bull dog
Kiranga
na wengi wengine aiseee ur my family
wea famity(ice age hippo)
na chama kubwa Tyta
nakupenda ding dong