Angelicious
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 869
- 498
Asante sana my boss charming glady,nami kwa niaba ya akananas Paloma na Passion Lady tuna sambaza upendo kwako bila kuwa sahau Mtambuzi, Rich Woman Munkari Angelicious Madame B @figganiga DEMBA, atug., lara 1, watu8 Mentor.
Daaa Walimu wangu wamenitoa mbali pamoja na kuwa na kichwa kigumu lakini nikifundishwa na hawa naelewa sana ...... Mwl gfsonwin snowhite Evelyn Salt.
Daaa upendo huu usambae hadi kwa Nicas Mtei, arusha one, Mungi, Crashwise.
List hii itaendelea.........
asante sana mkuu Ruttashobolwa kwa kusambaza upendo kwangu nami ngoja nisambaze kwa wafuatao
naanza na wewe mwenyewe, Daudi1, uran na mkewe Valentina, Evelyn Salt, kiwatengu, Rich Pol Mentor, Mzizi Mkavu, Mtambuzi, Arushaone, Window7, Mamndenyi, watu8, The Boss. naona list haiishi
nitaendelea siku nyingine
Last edited by a moderator: