Extraction ya Chris Hemsworth mmeionaje?

Iko hivi, yule mlinzi wa ovi alimuambia mke wake kua boss wake accounts zake zimefungwa so hela iliopo haitoshi kwa ajili ya mission iweze kukamlilika.
Pia boss alimpa kitisho kule gerezani akamwambia muokoe mwanangu(Ovi) kama unataka kuona birthdays zengine za mwanao (aki maanisha atamua mtoto wake).
Sasa jamaa akawalipa pesa nusu akina Rake, so ndo maana akaanza kuwaua baada ya kumuokoa dogo ila awazurumu pesa iliobakia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ilikuwa je Taylor a
Sasa ilikuwa je Taylor amuite tena amkabidhi dogo wakati akijua ndio amewazunguka?
 
Movie ya kawaida sana. Huwezi kurudia kuangalia mara mbili
 
Kuna sehemu wanaongea kihindi au hii niliyo-download mimi ndio ina lugha 2 wakuu...?
 
mwamba anaitwa chris hemsworth jamaa ni mu australia huyo..ndio kacheza movie inaitwa 12 strong pia ni hatari yan ya kijesh pi
Bila kusahau movies za Thor,
Naipenda sauti yake nzito na body yake.
 
Jamaa umeongeza na chumvi kidogo japo swala LA kukaa majin n sawa ila inampaje nguvu risasi alivyopigwa vile na ilikuaje akapona me bado naona bad ending

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…