Extraction ya Chris Hemsworth mmeionaje?

Extraction ya Chris Hemsworth mmeionaje?

accurate
8C00C92F-EBE3-4761-B920-BFB8585BCD3C.jpeg
 
Nadhani hukuekewa lile gemu. Hawakusema kuwa hawataki kumpa hela ila aliye wapa ule mchongo aliwazunguka hivyo Tylor anaona ili apate pesa yake lazima atoke na yule mtoto.

Sehemu tu iliyonichnganya ni pale yule mlinzi wa ovi alipowashamvulia waokoaji swali ni kwamba sasa ni nani alitoa hiyo tenda ya uokoaji?

God save us
Iko hivi, yule mlinzi wa ovi alimuambia mke wake kua boss wake accounts zake zimefungwa so hela iliopo haitoshi kwa ajili ya mission iweze kukamlilika.
Pia boss alimpa kitisho kule gerezani akamwambia muokoe mwanangu(Ovi) kama unataka kuona birthdays zengine za mwanao (aki maanisha atamua mtoto wake).
Sasa jamaa akawalipa pesa nusu akina Rake, so ndo maana akaanza kuwaua baada ya kumuokoa dogo ila awazurumu pesa iliobakia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ilikuwa je Taylor a

Sasa ilikuwa je Taylor amuite tena amkabidhi dogo wakati akijua ndio amewazunguka?
 
Kuna sehemu wanaongea kihindi au hii niliyo-download mimi ndio ina lugha 2 wakuu...?
 
mwamba anaitwa chris hemsworth jamaa ni mu australia huyo..ndio kacheza movie inaitwa 12 strong pia ni hatari yan ya kijesh pi
Bila kusahau movies za Thor,
Naipenda sauti yake nzito na body yake.
 
Huyu jamaa nimefatilia.. huyu jamaa ana uwezo wa kukaa ndani ya maji kwa muda mrefu sana (kama umeangalia hii Movie kuna kipande jamaa kaka kwenye maji kafunga miguu kwa muda)

So jamaa alivyopigwa risasi na kujitupa kwenye maji.. kule jamaa akufa (yaan kuna nguvu flani anaipata akiwa majini) ndo maana movie inaisha dogo pembeni yake jamaa yupo kwa mbali.

Na kama ukijua jamaa aliweza ku survive kwenye maji ni sawa na Dogo mwishoni mwishoni alivyojaribu kukaa majini kwa sekund tu so it means jamaa kujitupa majini ndo pona yake na ndo maana ata wale wenzake awakuweza kumsaidia sababu wanamuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa umeongeza na chumvi kidogo japo swala LA kukaa majin n sawa ila inampaje nguvu risasi alivyopigwa vile na ilikuaje akapona me bado naona bad ending

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom