Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

Ni Tanzania tu mtu anayeishi sehemu fulani anapingwa na mtu ambaye hajawahi hata kufika hiyo sehemu.

Yaaani tumsikilize hiyo Kamwaga ambaye hajawahi hata kufika Cuba alafu tuache kumsikiliza Polepole kama mwakilishi rasmi wa nchi nchini Cuba?
 
Hata kama hujafika ndo uamini mtungi wa kilo 20 utaupata kwa Tsh 2000?
 
Huyo jamaa ni sawa na wale wanaoujua mji kupitia Google map halafu WANAWABISHIA WENYEJI WA MJI ...

Polepole kaishi cuber kama balozi, na miongoni mwa kazi za balozi ni pamoja na mambo ya kiuchumi na biashara na kutafti mambo, sasa huyu anakuja na taarifa za kugoogle ambazo huwa zingine zinafichwa kwa maslahi ya kibiashara au soko la dunia.

GAS Cuber inauzwa bei rahisi sana maana ni hitaji la msingi la uhai wa binadamu,
Hapa tanzania Hata mafuta ya gari BEI IKO JUU KWA AJILI YA UTITILI WA KODI!
Katika rita moja inayouzwa elfu 3000/= katika kiasi hiki elfu 2000 nzima ni kodi tupu ( bei halisi ya mafuta haikutakiwa kuwa juu hivyo ilipaswa kuwa 900~1300 TU lakini KODI NI JIPU!

Kwenye gas napo ni hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom