Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

Alimdharau kisa alimuona akiandika mwanaspot,hakuna sehemu duniani mtungi wa gesi wa 20kg unauzwa buku mbili,utakua juha ukiamini hilo
Umeshaambiwa Cuba au kwa vile kasema Polepole angesema Samia uchumi wetu tumewapita Marekani unaamini au sio?
 
150pesos ni laki tatu?? Aache uongo huyo Ezekiel. 150 Cuban pesos ni sawa na 6.5$ sawa na kama 17,000 ya kibongo kwenye soko la magendo hiyo lpg unapata kwa 250 pesos (cuban)
kwahyo sio elf 2 tena.kazi ipo
 
Umeshaambiwa Cuba au kwa vile kasema Polepole angesema Samia uchumi wetu tumewapita Marekani unaamini au sio?
Tatizo lako kubwa elimu na uwezo mdogo wa kufikiri,huko cuba gas tu ya tabu, halafu iwe buku mbili ya tz!!.. uchumi wa tz ukikua kwa 5% na wa marekani ukakua kwa 0.5%,bado ongezeko la uchumi wa marekani litakua kubwa kuliko la tz lakini ukuaji wa uchumi wa tz utakua mkubwa kuliko wa marekani...shule!!
 
Kwaiyo tumeshaanza kutoa msaada kwa Marekani? Kuvimbisha kapu la bajeti yao, kujaza pale kwenye deficit? Samia wako ngumbaru ajui kitu, mwaache angangane na maiti za muhimbili na mloganzila
 
Bado hujaelewa,una elimu gani kwanza!?..isije tukawa tunasumbuana tu
 
Tatizo lako kubwa elimu na uwezo mdogo wa kufikiri,huko cuba gas tu ya tabu, halafu iwe buku mbili ya tz!!.. uchumi wa tz ukikua kwa 5% na wa marekani ukakua kwa 0.5%,bado ongezeko la uchumi wa marekani litakua kubwa kuliko la tz lakini ukuaji wa uchumi wa tz utakua mkubwa kuliko wa marekani...shule!!
Tatizo wengi hawaelewi ni exchange rate ya dollar na cuban peso. Dollar ni mfalme Cuba - ukiwa na chanzo cha dollar mfano wacuba ambao nduguze wapo Miami usa, basi ataishi kwa raha sana. Akibadilisha dollar to CUP anapata fedha ya kugharamia mahitaji yote kwa wepesi ikiwemo gesi 10 kg ambayo bei rasmi 225 CUP. Miaka mingi ya siasa za Ujamaa umevuruga uchumi wa Cuba. Bei ya gesi 10 kg kwa exchange rate rasmi 24CUP/USD inakaribia 10 USD. Exchange rate isiyo rasmi 400CUP/USD ndio chanzo cha baadhi ya wa Cuba kufaidi bei ya kutupa ya gesi.
 
Una Google ambayo engine yake inaendeshwa na USA ambayo hawaelewani na Cuba je kama USA amepika takwimu? Polepole ameishi Cuba
 
Back
Top Bottom