Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

Hapa chini ni makadirio ya gharama ya kujaza mtungi wa kg 20 wa gesi ya kupikia (LPG) kwa nchi tatu ulizotaja, kwa kutumia wastani wa bei ya gesi kwa lita/kilo na kubadilisha kwa thamani ya Tsh (makadirio kwa Agosti 2025):

---

1. Algeria
  • Bei kwa kilo: takriban 0.066/lita
  • Mtungi wa 20kg ≈ 1.32
  • Tsh kwa dola 1 ≈ TSh 2,600
  • 1.32 × 2,600 = TSh 3,432

➡ Mtungi wa 20kg: takriban TSh 3,400

---

2. Angola
  • Bei kwa kilo: 0.109/lita
  • Mtungi wa 20kg ≈ 2.18
  • 2.18 × 2,600 = TSh 5,668

➡ Mtungi wa 20kg: takriban TSh 5,700

---

3. Urusi (Russia)
  • Bei kwa kilo: 0.313/lita
  • Mtungi wa 20kg ≈ 6.26
  • 6.26 × 2,600 = TSh 16,276

➡ Mtungi wa 20kg: takriban TSh 16,300

---

Kwa kulinganisha, Tanzania bei hiyo ni zaidi ya TSh 60,000–70,000 kwa mtungi wa 20kg.
 
Huyu ni Kamwaga wa gazeti la Mwanaspoti? Alikua anaongelea Simba na Yanga mara zote au kuna mwingine?
Huyo alianza kuandika hard news/articles rai/raia mwema kabla hajaamua kuandika mwanaspoti na edo kumwembe
 
Huyo alianza kuandika hard news/articles rai/raia mwema kabla hajaamua kuandika mwanaspoti na edo kumwembe
Point yako ipi mkuu? Kwamba hawezi kusema uongo au? Au ka google anabishana na mtu ambaye ameishi kabisa
 
Watu waliuawa mtwara hiyo gesi iko wapi ??ezekieliiiii kamwagwaaaa jibu swali
 
Kiswahili lugha ya taifa, lakini lugha ngumu sana kwa baadhi yetu. 😆😆
Hakuna ugumu, lakini kuchapia wakati mwingine hakuepukiki. Ni sawa na mtu kutembea, alafu ukajikwaa sio kigezo cha kwamba haujui kutembea. Note that!

Kingine usiwe mwepesi wa kujaji jambo mapema kwa first impression ----- utajikuta wrong most of the time........."Kwa maana kuteleza sio kuanga ndugu."
 
unajua usd 100 Kule USA ni pesa ya kuacha nyumbani kila siku alafu cheimbe unashangaa kwa nini riali omani ina thamani kubwa
Hiki li kihembe linahangaika kufubaza mabomu ya pole pole. Liongo hili. Cuba bei za mitungi ya gas zinatofautiana baina ya eneo na eneo. Lakini haizidi elfu tatu. Huyo chimwaga sijui kimwage anazungumzia bei ya mafuta ndio iko juu lakini siyo gas. Atuambie hiyo bei ya gas ni ya mji gani Cuba maana bei zinatofautiana. Na Havana ndio Kuna bei kubwa zaidi ambayo kwa Hela ya kibongo haizidi elfu tatu.
 
Haya sasa, kuna watu walidhani taarifa za Cuba hazipatikani. Uongo mkubwa umedhihiri. Tanzania ya sasa ni ya wasaka taarifaView attachment 3459625
Therefore, The price of a 10 kg cylinder of liquefied gas has been reduced from 213 Cuban pesos to 180 Cuban pesos., a reduction that they insisted was taken into account precisely because of the renewal of new electricity rates for Cuban homes

Kamwaga, kwa maelezo ya juu hapo unakna ulivyokuwa muongo
 
Cuba mtungi wa 10kg ni Cuban 180 pesos. Hii ni laki 2 au 3 unazosema?
Unapotosha. HP yuko sahihi
 
Point yako ipi mkuu? Kwamba hawezi kusema uongo au? Au ka google anabishana na mtu ambaye ameishi kabisa
Alimdharau kisa alimuona akiandika mwanaspot,hakuna sehemu duniani mtungi wa gesi wa 20kg unauzwa buku mbili,utakua juha ukiamini hilo
 
Ni Tanzania tu mtu anayeishi sehemu fulani anapingwa na mtu ambaye hajawahi hata kufika hiyo sehemu.

Yaaani tumsikilize hiyo Kamwaga ambaye hajawahi hata kufika Cuba alafu tuache kumsikiliza Polepole kama mwakilishi rasmi wa nchi nchini Cuba?
We ndo hovyo kweli. Yaani mtu akikwambia habr ya mahali hujafika basi wewe ni kumeza tu. We kweli Nyumbu mana umenyimwa ht akili ya kufikiri. Eti mtungi wa 20kg kwa sh. 2,000!
 
Back
Top Bottom