Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

Mtungi wa gesi ni minor ishu kwa yote aliyoyaongea Polepole... Kamwaga atuambie basi mnufaika haswa wa hayo matrekta 10,000 yatakayoletwa..
 
Hata kama hujafika ndo uamini mtungi wa kilo 20 utaupata kwa Tsh 2000?
Yaani maji ya afya ya lita 13 tu ni sh. 4,000 hivyo maji ni rahisi kuliko Gesi? Au kina Azam nao wanatuhujumu?
Halafu bado kuna watu wanaona Pole pole ni mtu reliable kabisa. In conclusion ikiwa ameweza kudanganya kwenye issue ndo kama hii tutanuamini vipi kwenye mambo mengine anayotuhumu watu?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Haya sasa, kuna watu walidhani taarifa za Cuba hazipatikani. Uongo mkubwa umedhihiri. Tanzania ya sasa ni ya wasaka taarifaView attachment 3459625
Polepole ameishi Cuba karibu zaidi
Kimwaga anadhani Google ni msahafu wenye ukweli usio na makosa kwa ujinga wake
Tatu Kamwaga akiwahi kuajiriwa kwenye magazeti ya Rostam Azizi ni bosi wake .
 
Haya sasa, kuna watu walidhani taarifa za Cuba hazipatikani. Uongo mkubwa umedhihiri. Tanzania ya sasa ni ya wasaka taarifaView attachment 3459625
Ficha upuuzi wako wewe kada la wahindi mafisadi.
Huyo bwanako tumuamini kuliko balozi polepole kisa anakufaa wewe?
ukweli kunamijitu imejaza mafi kichwani inadhani niakili? Unajidai unaweza danganya watu humu jinga wewe!!
Ninyi wapumbafu mnapenda kujipendekeza kwa maarabu na mahindi mafisadi nakuingiza nchi kwenye majanga sijui ni majini yanawasumbua.
*Nyerere alifukuza mahindi majizi...
*Mwinyi alituletea kina Chavda nk. kuifilisi nchi...
*Mkapa alibana majinzi mahindi na maarabu...
*Kiwete alituletea majizi yakiarabu teele kina Rostam,Jiitu tapeli,Manjis nk
*Magufuli alifunga majizi nakufukuza mahindi matapeli...
*Samia anakumbatia majizi kina Rostam na maarabu mengine mpaka anafukuza wamasai ili yakae maarabu majizi.
Ogopa dini zinazoamini majini 😳😳
Ajabu matoto ya hao vibaraka wa Waarabu nayo yanang'ang'ania ikulu hayataki kusoma nakufanya kazi za haki Bali kula kodizetu kifisadi💩
 
Haya sasa, kuna watu walidhani taarifa za Cuba hazipatikani. Uongo mkubwa umedhihiri. Tanzania ya sasa ni ya wasaka taarifaView attachment 3459625
Chiembe kwa hiyo unaona hiyo nayo habari ya kubishania au kuzozana katika mazingira yetu ya Tanzania ya leo,ama kweli tumekuwa mufilisi tangu vichwani mwetu,hata chama chetu kinacho jigamba chama dola.
 
Kama ameweza kujibu hiyo,aendelee kujibu zingine alizotoa Polepole.

Sidhani kama hiyo ni hoja pekee aliyotoa Polepole na wala siyo ya muhimu ikilinganishwa na zingine nyingi alizotoa tangu alijiuzulu ubalozi.
Haya sasa, kuna watu walidhani taarifa za Cuba hazipatikani. Uongo mkubwa umedhihiri. Tanzania ya sasa ni ya wasaka taarifaView attachment 3459625
yo
 
Hata kama hujafika ndo uamini mtungi wa kilo 20 utaupata kwa Tsh 2000?
Polepole na wa-Cuba wengine au labda mamsap wake wanajua namna ya kuipata mitungi hiyo kwa bei ya tsh 2000 kwa kilo 20; watu wanabisha tu bila kujiuliza wanapataje pataje kwa bei hiyo.. sio kwenda kichwa kichwa tu bila kujiuliza.
Hata hapa bongo ukiingia kichwa kichwa , lazima uliwe kwa mambo mengi sana, lakini wajuvi wa mambo wanajua namna ya kupata michongo ya kimaisha na mambo yanakwenda kama kawa... wajamaa wanajua namna ya kuishi na kuya-control mazingira yao. Mwacheni Polepole ana jinsi yake ya kuishi ambayo sisi wengine hatuijui au labda tuhamie Burundi kama tulivyo wahi kushauriwa...
 
Ni Tanzania tu mtu anayeishi sehemu fulani anapingwa na mtu ambaye hajawahi hata kufika hiyo sehemu.

Yaaani tumsikilize hiyo Kamwaga ambaye hajawahi hata kufika Cuba alafu tuache kumsikiliza Polepole kama mwakilishi rasmi wa nchi nchini Cuba?
Kupata taarifa sahihi za nchi nyingine sio lazima uwe unaishi pale,vilevile Polepole sio mtanzania pekee aliyeishi cuba,wapo wengi.
 
Kwahyo tumuamini nani? alieishi Cuba au data za Google?
 
Yaani maji ya afya ya lita 13 tu ni sh. 4,000 hivyo maji ni rahisi kuliko Gesi? Au kina Azam nao wanatuhujumu?
Halafu bado kuna watu wanaona Pole pole ni mtu reliable kabisa. In conclusion ikiwa ameweza kudanganya kwenye issue ndo kama hii tutanuamini vipi kwenye mambo mengine anayotuhumu watu?
Polepole ni mwongo
 
Polepole ni mkweli kabisa.hawa wahuni wanaipotosha tuwapuuze tu maana kumjibu mbulula ni kujishusha hadhi
 
Back
Top Bottom