Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

Ficha upuuzi wako wewe kada la wahindi mafisadi.
Huyo bwanako tumuamini kuliko balozi polepole kisa anakufaa wewe?
ukweli kunamijitu imejaza mafi kichwani inadhani niakili? Unajidai unaweza danganya watu humu jinga wewe!!
Ninyi wapumbafu mnapenda kujipendekeza kwa maarabu na mahindi mafisadi nakuingiza nchi kwenye majanga sijui ni majini yanawasumbua.
*Nyerere alifukuza mahindi majizi...
*Mwinyi alituletea kina Chavda nk. kuifilisi nchi...
*Mkapa alibana majinzi mahindi na maarabu...
*Kiwete alituletea majizi yakiarabu teele kina Rostam,Jiitu tapeli,Manjis nk
*Magufuli alifungwa majizi nakufukuza mahindi matapeli...
*Samia anakumbatia majizi kina Rostam na maarabu mengine mpaka anafukuza wamasai ili yakae maarabu majizi.
Ogopa dini zinazoamini majini 😳😳
Ajabu matoto ya hao vibaraka wa Waarabu nayo yanang'ang'ania ikulu hayataki kusoma nakufanya kazi za haki Bali kula kodizetu kifisadi💩
Mnduku wako
 
Yaani maji ya afya ya lita 13 tu ni sh. 4,000 hivyo maji ni rahisi kuliko Gesi? Au kina Azam nao wanatuhujumu?
Halafu bado kuna watu wanaona Pole pole ni mtu reliable kabisa. In conclusion ikiwa ameweza kudanganya kwenye issue ndo kama hii tutanuamini vipi kwenye mambo mengine anayotuhumu watu?
kama maji yanauzwa 4000, upepo tu hata mchungaji tony anao wanatuuziaje elfu 60? tunapigwaaaa
 
gas kule songosongo inatoka ka ushuzi pyuu halafu wanatuuzia elfu 60, siwizi huo,
 
Cuba bei ya serikali ta gas ni dola 6.5 ambayo ni kama elfu 16 ya Tanzania kwa mtungi wa lita 20.
Huyo Ezekiel Kamwaga ni Muongo
 
Polepole na wa-Cuba wengine au labda mamsap wake wanajua namna ya kuipata mitungi hiyo kwa bei ya tsh 2000 kwa kilo 20; watu wanabisha tu bila kujiuliza wanapataje pataje kwa bei hiyo.. sio kwenda kichwa kichwa tu bila kujiuliza.
Hata hapa bongo ukiingia kichwa kichwa , lazima uliwe kwa mambo mengi sana, lakini wajuvi wa mambo wanajua namna ya kupata michongo ya kimaisha na mambo yanakwenda kama kawa... wajamaa wanajua namna ya kuishi na kuya-control mazingira yao. Mwacheni Polepole ana jinsi yake ya kuishi ambayo sisi wengine hatuijui au labda tuhamie Burundi kama tulivyo wahi kushauriwa...
Soko la kitaifa halipimwi kwa michongo, mimi ninao uwezo wa kupata matibabu bure hospitali fulani ya taifa kisa kuna mwana familia ana cheo. Je, nitoke niseme kuwa matibabu Tanzania ni bure kabisa kabisa?

Ni mpumbavu pekee anaamini mtungi wa gesi Cuba ni 2,000. Twende hata hizo nchi zinazozalisha kina Qatar na Urusi, hupati huo mtungi kwa 2,000.

Chambua kila unachoambiwa sio unameza tu, hata ukiambiwa Cuba wanakula mawe kama mlo utakubali kisa anayekwambia kaishi uko. Bei ya soko haitafutwi vichochoroni wala sio siri ya watu wachache. Kama ambavyo unaweza jua bei ya gari likiwa Japan na hujawahi kwenda, ndivyo hivyo bei ya gesi unaweza jua.
 
Waandishi wa habari wa Tanzania sifuri kabisa. Yaani kashindwa kupata taarifa ndogo tu za gas inauzwa bei gani Cuba? Si angepiga hata Ubalozini na kuwauliza hai watu?

Hizo 180 Cuban money ni Kama dola sita na ndio bei ya serikali ya mtungi wa gas wa kilo 20.
 
Back
Top Bottom