Muulizeni Polepole haya maswali, labda yeye anajua maana yupo kwenye chungu.Soko la kitaifa halipimwi kwa michongo, mimi ninao uwezo wa kupata matibabu bure hospitali fulani ya taifa kisa kuna mwana familia ana cheo. Je, nitoke niseme kuwa matibabu Tanzania ni bure kabisa kabisa?
Ni mpumbavu pekee anaamini mtungi wa gesi Cuba ni 2,000. Twende hata hizo nchi zinazozalisha kina Qatar na Urusi, hupati huo mtungi kwa 2,000.
Chambua kila unachoambiwa sio unameza tu, hata ukiambiwa Cuba wanakula mawe kama mlo utakubali kisa anayekwambia kaishi uko. Bei ya soko haitafutwi vichochoroni wala sio siri ya watu wachache. Kama ambavyo unaweza jua bei ya gari likiwa Japan na hujawahi kwenda, ndivyo hivyo bei ya gesi unaweza jua.
Kwahyo anambishia balozi ambae amekaa hukoHaya sasa, kuna watu walidhani taarifa za Cuba hazipatikani. Uongo mkubwa umedhihiri. Tanzania ya sasa ni ya wasaka taarifaView attachment 3459625
Mtungi wa gas Cuba ni dola kati ya sita na saba (180 pesa ya Cuba). Kutegemeana na wapi unabadili pesa yako maana Cuba kuna black market ya dolaSoko la kitaifa halipimwi kwa michongo, mimi ninao uwezo wa kupata matibabu bure hospitali fulani ya taifa kisa kuna mwana familia ana cheo. Je, nitoke niseme kuwa matibabu Tanzania ni bure kabisa kabisa?
Ni mpumbavu pekee anaamini mtungi wa gesi Cuba ni 2,000. Twende hata hizo nchi zinazozalisha kina Qatar na Urusi, hupati huo mtungi kwa 2,000.
Chambua kila unachoambiwa sio unameza tu, hata ukiambiwa Cuba wanakula mawe kama mlo utakubali kisa anayekwambia kaishi uko. Bei ya soko haitafutwi vichochoroni wala sio siri ya watu wachache. Kama ambavyo unaweza jua bei ya gari likiwa Japan na hujawahi kwenda, ndivyo hivyo bei ya gesi unaweza jua.
Soko la kitaifa halipimwi kwa michongo, mimi ninao uwezo wa kupata matibabu bure hospitali fulani ya taifa kisa kuna mwana familia ana cheo. Je, nitoke niseme kuwa matibabu Tanzania ni bure kabisa kabisa?
Ni mpumbavu pekee anaamini mtungi wa gesi Cuba ni 2,000. Twende hata hizo nchi zinazozalisha kina Qatar na Urusi, hupati huo mtungi kwa 2,000.
Chambua kila unachoambiwa sio unameza tu, hata ukiambiwa Cuba wanakula mawe kama mlo utakubali kisa anayekwambia kaishi uko. Bei ya soko haitafutwi vichochoroni wala sio siri ya watu wachache. Kama ambavyo unaweza jua bei ya gari likiwa Japan na hujawahi kwenda, ndivyo hivyo bei ya gesi unaweza jua.
Je ni nafuu kununua mtungi mdogo kwa gesi kwa bk 24Muulizeni Polepole haya maswali, labda yeye anajua maana yupo kwenye chungu.
na hawakusoma hata bei za jana kama zilivyo chapishwa na nikawatolea ufafanuzi hapa kwa mujibu cha wa Al:Waandishi wa habari wa Tanzania sifuri kabisa. Yaani kashindwa kupata taarifa ndogo tu za gas inauzwa bei gani Cuba? Si angepiga hata Ubalozini na kuwauliza hai watu?
Hizo 180 Cuban money ni Kama dola sita na ndio bei ya serikali ya mtungi wa gas wa kilo 20.
Jibu nililiandika jana hapa:Je ni nafuu kununua mtungi mdogo kwa gesi kwa bk 24
Tanzania tuna gas au hatuna gas?Haya sasa, kuna watu walidhani taarifa za Cuba hazipatikani. Uongo mkubwa umedhihiri. Tanzania ya sasa ni ya wasaka taarifaView attachment 3459625
Kwa hiyo Polepole ndo mkweli kusema ni Tsh 2000?Cuba bei ya serikali ta gas ni dola 6.5 ambayo ni kama elfu 16 ya Tanzania kwa mtungi wa lita 20.
Huyo Ezekiel Kamwaga ni Muongo
Kwa hiyo Polepole ndo mkweli kusema ni Tsh 2000?Waandishi wa habari wa Tanzania sifuri kabisa. Yaani kashindwa kupata taarifa ndogo tu za gas inauzwa bei gani Cuba? Si angepiga hata Ubalozini na kuwauliza hai watu?
Hizo 180 Cuban money ni Kama dola sita na ndio bei ya serikali ya mtungi wa gas wa kilo 20.
Ndugu dunia hii ya kidigitali kujua bei ya kitu nchi fulani ni kazi ndogo mno. Kwa hiyo wewe ili ununue gari itabidi uende Japan?Ni Tanzania tu mtu anayeishi sehemu fulani anapingwa na mtu ambaye hajawahi hata kufika hiyo sehemu.
Yaaani tumsikilize hiyo Kamwaga ambaye hajawahi hata kufika Cuba alafu tuache kumsikiliza Polepole kama mwakilishi rasmi wa nchi nchini Cuba?
wewe unaonaje?Ana hoja? Au hana hoja!
Sasa ukienda kununua gari Unaenda official sites au black market? Ndiyo Unaweza kuwa mbali na ukapata bei sahihi kwa ku research au kuongea na watu walioko huko.Ndugu dunia hii ya kidigitali kujua bei ya kitu nchi fulani ni kazi ndogo mno. Kwa hiyo wewe ili ununue gari itabidi uende Japan?
Kwa hiyo mkweli ni Polepole aliyesema ni Tsh 2000?Sasa ukienda kununua gari Unaenda official sites au black market? Ndiyo Unaweza kuwa mbali na ukapata bei sahihi kwa ku research au kuongea na watu walioko huko.
Huyu Mwandishi kachukua bei ya black market kafanya ndio bei ya serikali. Wakati taarifa zote zinakuambia gas Cuba husambazwa na serikali na bei yako ni pesa ya Cuba 180.