Jaribu kujua tofaut kati ya zilizo na zinazo.Kati ya nyie na nchi zilizohalalisha ushoga zipi zina uchumi mkubwa na zimeendelea?
Unaweza kupinga ushoga ila jenga hoja zenye mashiko. I don't condone ushoga ila sababu zenu nyingi ni za kijinga
Kwa 100% unaonekana wewe ni mse**
Kumbuka Sodoma na Gomora, kumbuka wewe ni wa Jehenamu milele!
Hoja fikirishi...Anaandika Ezekiel Kamwaga:
Tuwe makini
Kuna fasheni imeanza ya watu kujionyesha wana msimamo mkali dhidi ya ushoga. Taratibu, jambo ambalo liko mbali sana kwenye matatizo yetu linaanza kukuzwa kwa sababu linagusa hisia za wengi. Hata hivyo, tutapoteza mwelekeo kama tutaanza kuwaona ‘mitume’ hawa wa Kupinga ushoga kama ndiyo watu wa muhimu zaidi. Nchi kubwa zimeanza kuyumba baada ya kuwafanya watu wanaojadili mambo madogo kuwa wa maana na kudharau wale wenye mawazo makubwa yenye kuondoa shida kubwa. Matatizo ya Tanzania yanajulikana. Kuna shida kubwa ya ajira kwa vijana wetu
Wapo viongozi wamesema hilo ni bomu. Vijana wenye nguvu, maarifa na ujuzi lakini wenye njaa na hasira ni tatizo kubwa kuliko ushoga. Tuna tatizo la mamilioni ya Watanzania kuwa nje ya mfumo wa Bima ya Afya na wanafilisika kwa kuugua au kuuguza. Kuna tatizo la ubora wa elimu yetu
Kwenye kukabiliana na changamoto za kisasa za duniani. Kuna tatizo la utayari wetu kujiandaa na majanga kwenye dunia hii ya mabadiliko ya TabiaNchi. Tutumie nguvu na maarifa zaidi kujadiliana mambo ambayo kweli ni shida kwetu. Tukienda na hii njia tuliyoanza, tutakuja kuchagua
Viongozi ambao sifa yao kubwa ni kupinga ushoga. Hiyo tu. Analysis ya siasa za siku hizi inaonyesha kwamba viongozi/wanasiasa wanaopoteza muda na vitu vya hisia ni wale ambao hawana majibu ya maswali magumu yanayokabili jamii zao wakati huo. Wanabaki kuwa watu wa vitu vidogo
Kwa haya yanayoendelea naona tayar washatoa majibu
Sawasawa ili uliwe bila bugudhaNaunga mkono hoja,naona watu wanatafutia kiki kwenye jambo hili na hata ukisema tuonesheni huo ukubwa hawawezi..
Serikali piga marufuku kuzungumzia mambo haya.
Ndio kwani unaliwa wewe? Mbona unateseka?Sawasawa ili uliwe bila bugudha
Ila mie sijaelewa ushoga unawafaidi nini wale wanaoshabikia. Lakini pia napata shida kutambua vizuri ni kwa nini watu huku Afrika wanavutiwa na kuwa mashoga ukiachana na wale wanaozaliwa na matatizo.Anaandika Ezekiel Kamwaga:
Tuwe makini
Kuna fasheni imeanza ya watu kujionyesha wana msimamo mkali dhidi ya ushoga. Taratibu, jambo ambalo liko mbali sana kwenye matatizo yetu linaanza kukuzwa kwa sababu linagusa hisia za wengi. Hata hivyo, tutapoteza mwelekeo kama tutaanza kuwaona ‘mitume’ hawa wa Kupinga ushoga kama ndiyo watu wa muhimu zaidi. Nchi kubwa zimeanza kuyumba baada ya kuwafanya watu wanaojadili mambo madogo kuwa wa maana na kudharau wale wenye mawazo makubwa yenye kuondoa shida kubwa. Matatizo ya Tanzania yanajulikana. Kuna shida kubwa ya ajira kwa vijana wetu
Wapo viongozi wamesema hilo ni bomu. Vijana wenye nguvu, maarifa na ujuzi lakini wenye njaa na hasira ni tatizo kubwa kuliko ushoga. Tuna tatizo la mamilioni ya Watanzania kuwa nje ya mfumo wa Bima ya Afya na wanafilisika kwa kuugua au kuuguza. Kuna tatizo la ubora wa elimu yetu
Kwenye kukabiliana na changamoto za kisasa za duniani. Kuna tatizo la utayari wetu kujiandaa na majanga kwenye dunia hii ya mabadiliko ya TabiaNchi. Tutumie nguvu na maarifa zaidi kujadiliana mambo ambayo kweli ni shida kwetu. Tukienda na hii njia tuliyoanza, tutakuja kuchagua
Viongozi ambao sifa yao kubwa ni kupinga ushoga. Hiyo tu. Analysis ya siasa za siku hizi inaonyesha kwamba viongozi/wanasiasa wanaopoteza muda na vitu vya hisia ni wale ambao hawana majibu ya maswali magumu yanayokabili jamii zao wakati huo. Wanabaki kuwa watu wa vitu vidogo
Swali la uelewa: Hao mnaosema wanafadhili hayo mambo machafu, wenyewe wanafaidikaje na huo mradi labda?Kenya, Tanzania, Uganda wote wanakuza tu jambo hilo? subiri mwanao aharibiwe na hizo NGO Zinazopokea fund kutoka Marekani zikifadhiri maelekezo maalum ya ushoga na usagaji ndipo utajua ushoga hupo au hakuna, hayo matatizo uliyoyataja ndio yanapelekea vijana wengi kuelekea huko kwenye ushoga na usagaji.
Unataka kusema watu wakiacha kukemea ushoga watu ndio watapata ajira?Ila mie sijaelewa ushoga unawafaidi nini wale wanaoshabikia. Lakini pia napata shida kutambua vizuri ni kwa nini watu huku Afrika wanavutiwa na kuwa mashoga ukiachana na wale wanaozaliwa na matatizo.
Kikubwa zaidi nashangaa namna suala linavyoshughulikiwa na kusemwa kwa nguvu sana. Hapa Tanzania kuna walimu wamemaliza chuo mwaka 2014 mpaka leo hawajapata ajira. Miaka miwili sasa Tanzania maisha ni magumu sana; nafikiri mzunguko wa hela umepungua,nk. Je, hizi shida ni ndogo kiasi kwamba jambo hilo jipya lijadiliwe zaidi kuliko haya mengine?
Lakini kama wanaojiingiza ushogani inaweza kuwa ni ugumu wa maisha; basi namna ya kuondoa ushoga ni kubadilisha maisha ya wananchi yawe mazuri na yenye nafuu ili idadi ya washoga ibaki tu ile ya wanaojitakia
ushoga ni tatizo kubwa sana kuliko ubongo wako
Nimeongelea concept yenyewe kwanza siko interested kupoint mtu hapa.Kama lengo ni kutaka kujua ukubwa wa hili tatizo ni kwambie tu kwamba ni kubwa sana.Binafsi unawajua mashoga na wasagaji wangapi? Sio wa kusimuliwa.
Amandla...
Sasa wewe una base imani yako ya idadi ya mashoja kutokana na yanayoandikwa katika social media? Hauoni kuwa wangekuwa wengi kiasi hicho usingekosa kumjua angalau mmoja miongoni mwa rafiki zako, ndugu zako, wafanyakazi wenzako, wanafunzi wenzako, majirani, mnaokunywa nao, mnaosali nao n.k. Kote huko hujamuona hata mmoja lakini unaamini kuwa jamii yetu imejaa mashoga!Nimeongelea concept yenyewe kwanza siko interested kupoint mtu hapa.Kama lengo ni kutaka kujua ukubwa wa hili tatizo ni kwambie tu kwamba ni kubwa sana.
Kama unahitaji kutambua hilo angalia kwenye social media hii topic ikiwa ndio mada.Look at those who argue for na rudi hapa uniulize nawajua wangapi.Hoja zao wote ni zile tu:human rights,sijui mambo ya msingi mbona hayaongelewi,sijui nyie mbona uchumi wenu mbovu,sijui ajira zimeenda zikarudi and blah! blah!.
Hizo human rights mnazosema ziko violated ni zipi? Hii concept ya human rights imekuwepo lini?na je hii concept ya ushoga ilikuwa accommodated in the first place?Jibu ni hapana.Ndio hizi principles ziko flexible(They can change to fit in a new context).But my question is,ni watu gani mlikaa mkakubaliana kwamba na ushoga uwe part of what is called human rights?Kama makubaliano yapo tayari niwatikie a nice trip to hell(I won't be part of this madness)
Unachotaka kujustify hapa wewe ni nini?Sasa wewe una base imani yako ya idadi ya mashoja kutokana na yanayoandikwa katika social media? Hauoni kuwa wangekuwa wengi kiasi hicho usingekosa kumjua angalau mmoja miongoni mwa rafiki zako, ndugu zako, wafanyakazi wenzako, wanafunzi wenzako, majirani, mnaokunywa nao, mnaosali nao n.k. Kote huko hujamuona hata mmoja lakini unaamini kuwa jamii yetu imejaa mashoga!
Nadhani haujui suala la human rights. Ungeijua usingeiita concept kama ambavyo usingesema kuwa kuna concept ya ushoga. Usingediriki kusema human rights ni flexible. Inaelekea umekariri maneno bila kujua maana yake.
Kitabu kitakatatifu kinatuasa tusiwe wepesi wa kuhukumu wenzetu maana hukumu ni ya Muumba peke yake. Unaweza kushangaa unaelekea hell peke yako.
Amandla....
Toka mkoloni ,na uhuru serikali Iko kimya SEMA mwakyembe
Kama nilivyosema, umeenda shule lakini haujaelimika. Tunaposema concept tunamaanisha kuwa ni kitu cha kufikirika na sio halisi. Kitu ambacho tayari kinakuwa implemented sio concept tena bali ni reality. Kuna wakati kweli human rights zilikuwa ni concept kwa sababu zilikuwa bado hazijakubalika katika jamii. Ziliacha kuwa concept 1948 baada ya Umoja wa Mataifa kutoa Declaration of Human rights. Tunapozungumzia Human Rights tunazungumzia hiyo na siyo nyingine.Unachotaka kujustify hapa wewe ni nini?
Hukumu iliyotoka ni hipi?Kuna mtu katajwa hapa?Nimekwambia always wanao argue for na hoja zao.Then what?
Human rights ni concept ndio kwamba hulijui hili? Ushoga pia ni concept ambayo iko visualized katika behavior.
Kukupa mfano wa social media nimejaribu kukuonyesha hii concept ambavyo inaweza kukubalika kwa wengi na ikawa internalized at the end ikawa character.We unaweza vipi kuargue for katika debate zinazohusu ushoga(not you but those who support this one).
Human right ni flexible ndio,flexibility yake hiko hivi,vitu unavyoweza kupewa wewe na kunyimwa viko embeded katika time and context.Ndio maana kuna vitu viko granted let say Kenya but denied in Tanzania(except those called universal human rights like right to live and so).Marekani ushoga ni haki ya binadamu,vipi huko kwenu ni haki pia? sasa ndio ujue kwamba human right is a concept and have this flexibility nature.
Vitabu vitakatifu vinatuhasa tusihukumu ndio ila vitabu hivyo pia vinakuruhusu ukubali mambo ambayo ni batili sio(najua wewe hukubali ila nlitaka kujua wewe unataka kudefend wanaosupport hii concept ama?)
Nadhani na wewe unataka kupotosha kwani human right inatakiwa izingatie cultural diversity hivyo right ya kutambua ushoga Marekani siyo lazima iwe hivyo Tanzania ambako customs zetu hazi-embrace kitu hiyo.Wadau wengi hawapingi rights of existence as human being ya hao mashoga,lakini tabu ni hapo sasa Taasisi mbalimbali kama some NGOs kuhamasisha our young generation Ili wajiunge na kadhia hiyo ambayo hata workforce yetu ya kesho Kwa mfano Jeshini cjui itakuwa na quality yenye utata.Kama Museveni alivyosimamia hoja yake kuwa kama Mashoga wote wangekuwa ni inborne kutokana na kuzaliwa hivyo basi kungekuwa na hoja ya kutopiga vita ushoga .Nashauri,Kila anayejadili hii mada avae viatu vya mfano wa mzazi ambaye kapeleka mwanae shule halafu baadae anakuja kugundua baadae kuwa kijana wake si ridhiki simply tu Kwa sababu kuna NGO ilimshawishi na kutoa incentive mbalimbali na kum-recruit kuwa shoga,it is so painfulKama nilivyosema, umeenda shule lakini haujaelimika. Tunaposema concept tunamaanisha kuwa ni kitu cha kufikirika na sio halisi. Kitu ambacho tayari kinakuwa implemented sio concept tena bali ni reality. Kuna wakati kweli human rights zilikuwa ni concept kwa sababu zilikuwa bado hazijakubalika katika jamii. Ziliacha kuwa concept 1948 baada ya Umoja wa Mataifa kutoa Declaration of Human rights. Tunapozungumzia Human Rights tunazungumzia hiyo na siyo nyingine.
Marekani hana "human rights " ya kwake bali ana bill of rights inayohusu raia wake. Kinachokuwa debated ni nani anahesabiwa kama human. Kama tunakubaliana kuwa shoga ni human basi hizi rights zinamhusu bila kujali yuko Marekani au Tanzania. Tunaposema kuwa haziwahusu tunakuwa tunamaanisha kuwa hatuwatambui kuwa ni binadamu. Tunapoambiwa kuwa tutambue human rights za mashoga ni kuwa tunaambiwa tuwatambue tu kuwa ni binadamu.
Aidha, ushoga sio concept ni reality. Walikuwepo, wapo na watakuwepo. Ushoga sio koti ambalo wanavaa na kulivua kutegemea na mazingira.
Unazungumzia vitu vilivyo batili bila kujiuliza nani anavifanya kuwa batili. Uamuzi wa kuwa unayoyafanya yanakubalika utafanyika siku ya hukumu yako ambapo utakuwa peke yako mbele ya muumba wako. Tumeambiwa tutahukumiwa kwa namna tulivyowatenda kila moja ya viumbe vyake, mashoga wakiwemo. Haupati hasara yeyote ukiwatendea wema bila kuwanyanyapaa hata kama haukubaliani na matendo yao.
Amandla...
Kama nilivyosema, umeenda shule lakini haujaelimika. Tunaposema concept tunamaanisha kuwa ni kitu cha kufikirika na sio halisi. Kitu ambacho tayari kinakuwa implemented sio concept tena bali ni reality. Kuna wakati kweli human rights zilikuwa ni concept kwa sababu zilikuwa bado hazijakubalika katika jamii. Ziliacha kuwa concept 1948 baada ya Umoja wa Mataifa kutoa Declaration of Human rights. Tunapozungumzia Human Rights tunazungumzia hiyo na siyo nyingine.