Ezekiel Kamwaga: Taratibu tatizo la Ushoga linakuzwa sana japo lipo mbali sana kati ya matatizo yanayotukabili

Ezekiel Kamwaga: Taratibu tatizo la Ushoga linakuzwa sana japo lipo mbali sana kati ya matatizo yanayotukabili

Nadhani na wewe unataka kupotosha kwani human right inatakiwa izingatie cultural diversity hivyo right ya kutambua ushoga Marekani siyo lazima iwe hivyo Tanzania ambako customs zetu hazi-embrace kitu hiyo.Wadau wengi hawapingi rights of existence as human being ya hao mashoga,lakini tabu ni hapo sasa Taasisi mbalimbali kama some NGOs kuhamasisha our young generation Ili wajiunge na kadhia hiyo ambayo hata workforce yetu ya kesho Kwa mfano Jeshini cjui itakuwa na quality yenye utata.Kama Museveni alivyosimamia hoja yake kuwa kama Mashoga wote wangekuwa ni inborne kutokana na kuzaliwa hivyo basi kungekuwa na hoja ya kutopiga vita ushoga .Nashauri,Kila anayejadili hii mada avae viatu vya mfano wa mzazi ambaye kapeleka mwanae shule halafu baadae anakuja kugundua baadae kuwa kijana wake si ridhiki simply tu Kwa sababu kuna NGO ilimshawishi na kutoa incentive mbalimbali na kum-recruit kuwa shoga,it is so painful
Mbona mnakuwa waongo wa kupitiliza. Wapi nimetaja cultural diversity? Human rights ni moja tu na haijalishi context.

Mpaka sasa hivi hamna aliyesema hizo NGO zinazowageuza watu kuwa mashoga zinatumia mbinu gani ili waendelee kuwa mashoga na wanapata faida gani.

Huyo mtoto atakuwa alikuwa shoga toka awali lakini alipogundulika akaona awasingizie NGO. Hizi NGO zinazolaumiwa zinajihusisha na watu ambao tayari ni mashoga na sio kuwafundisha ushoga wasio mashoga. Hivi hapo ulipo unaamini kweli kuna mtu anaweza kukushawishi kuwa shoga kama hautaki?
Amandla...
 
Ukanda wa Africa Mashariki una watu wengi sana wenye akili ndogo. Watu wenye akili ndogo ndio huwa wanapenda kujikita kwenye petty issues na maisha binafsi ya watu wasiowahusu.
Haswaaa yaan lol
 
Kwa hiyo tunasubiri mpaka litakapokuwa karibu. Yaani kwa lugha nyingine bwana ezekiel anasubiri hadi kijana wake wa kiume siku amuage nyumbani kuwa anaenda kulala kwa bwana wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Tuwe tunatumia akili kufikiri na siyo kama kutumia makalio aise.Yule mtafiti ameonyesha kuwa Kuna nguo na perfume vimetengezwa mahususi kabisi tutoa hormoni za kike na kumwingia Mtoto wa kiume kumbadirisha awe shoga.kwako hili unaona ni sawa TU.we huoni ni tatizo? We huoni ni sawa na dawa za kulevya zinazoharibu Mtoto wa Africa awe zezeta Ili mzungu aje abebe rasimali za Nchi? Mie nakwambia ningekuwa ndiye raisi hawo Wote wanaopromote ushoga na kamata na kutwanga risasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila mie sijaelewa ushoga unawafaidi nini wale wanaoshabikia. Lakini pia napata shida kutambua vizuri ni kwa nini watu huku Afrika wanavutiwa na kuwa mashoga ukiachana na wale wanaozaliwa na matatizo.
Kikubwa zaidi nashangaa namna suala linavyoshughulikiwa na kusemwa kwa nguvu sana. Hapa Tanzania kuna walimu wamemaliza chuo mwaka 2014 mpaka leo hawajapata ajira. Miaka miwili sasa Tanzania maisha ni magumu sana; nafikiri mzunguko wa hela umepungua,nk. Je, hizi shida ni ndogo kiasi kwamba jambo hilo jipya lijadiliwe zaidi kuliko haya mengine?
Lakini kama wanaojiingiza ushogani inaweza kuwa ni ugumu wa maisha; basi namna ya kuondoa ushoga ni kubadilisha maisha ya wananchi yawe mazuri na yenye nafuu ili idadi ya washoga ibaki tu ile ya wanaojitakia
Naombaaa wasome hapaa na waeleweee.
 
Hii tafsiri yako ya concept na kinachosemwa hapa naona unanchanganyia madesa ndugu.

Universal declaration of human rights ya 1948 ndio ilifanya human rights kutoka kuwa concept mpaka ikawa reality sio?So,kwahiyo unataka kusema before that year there were no human rights?kwamba binadamu hakuwa na haki ya kuishi? au kwasababu wakoloni hawakuliandika ndio maana unapata shida.Sema the concept human right was coined into language in that year and other formalities were established but not your blah! blah!

Haki za binadamu zimekuwepo tangu mwanzo wa uumbaji(kama una amini katika uumbaji) au pale tu mwanadamu alipoanza kuinteract na mazingira kama theories mbali mbali zinavyoeleza(achana na vitabu unaweza kutumia akili yako hivi vitu ukavielewa na hicho ndicho tunaita maarifa)

Kwanini nasema ushoga ni concept au human right ni concept ni kwasababu viko perceived katika mind.Ushoga sio real but mashoga ni real unaweza kuniambia tofauti hapo?Living is real but not right to live(ukijua tofauti hapo utajua concept ni nini katika huu mkutadha)
Kabla ya Declaration ya universal human rights kuna watu ambao walihesabiwa kuwa hawastahili kutambuliwa kama binadamu. Adolph Hitler alitangaza kuwa wayahudi sio binadamu kama wajerumani na akachukua hatua za kuwatokomeza katika uso wa dunia. Wazungu wa Marekani walimhesabu mtu mweusi kuwa sio binadamu kamili ndio maana wakaweza kuwageuza bidhaa inayouzwa na kununuliwa. Kuna sheria Marekani ilisema mtu mweupe hawezi kuadhibiwa kwa lolote atakalomfanyia mtu mweusi ikiwa pamoja na kumuua kwa sababu hana tofauti na mnyama anayemmiliki. Katika sehemu nyingi, wanawake hawakuhesabiwa kuwa ni binadamu kamili ndio maana hawakuwa na haki ya kupata elimu, kupiga kura na walipoolewa waume wao walikuwa na haki ya kuwafanya lolote wanalotaka.
Ni baada ya vita kuu ya pili ya dunia, ambapo ulimwengu uliona uovu unaoweza kufanyika kama kundi moja (wajerumani) litahesabu lingine ( wayahudi) sio binadamu kamili ndio ikaja hiyo Declaration of Universal Human Rights. Neno universal liliwekwa kuonyesha kuwa haki hozi hazina mipaka. Ndio maana kumnyima haki ya kuishi kama binadamu mwingine mtu ambae ni shoga ni kukiuka haki zake kama binadamu.

Hayo mengine unayoongea ni gibberish tupu. Sitakujibu tena.

Amandla....
 
Kabla ya Declaration ya universal human rights kuna watu ambao walihesabiwa kuwa hawastahili kutambuliwa kama binadamu. Adolph Hitler alitangaza kuwa wayahudi sio binadamu kama wajerumani na akachukua hatua za kuwatokomeza katika uso wa dunia. Wazungu wa Marekani walimhesabu mtu mweusi kuwa sio binadamu kamili ndio maana wakaweza kuwageuza bidhaa inayouzwa na kununuliwa. Kuna sheria Marekani ilisema mtu mweupe hawezi kuadhibiwa kwa lolote atakalomfanyia mtu mweusi ikiwa pamoja na kumuua. Katika sehemu nyingi, wanawake hawakuhesabiwa kuwa ni binadamu kamili ndio maana hawakuwa na haki ya kupata elimu, kupiga kura na walipoolewa waume wao walikuwa na haki ya kuwafanya lolote wanalotaka.
Ni baada ya vita kuu ya pili ya dunia, ambapo ulimwengu uovu unaoweza kufanyika kama kundi moja litahesabu lingine sio binadamu kamili ndio ikaja hiyo Declaration of Universal Human Rights. Neno universal liliwekwa kuonyesha kuwa haki hozi hazina mipaka. Ndio maana kumnyima haki ya kuishi kama binadamu mwingine mtu ambae ni shoga ni kukiuka haki zake kama binadamu.

Hayo mengine unayoongea ni gibberish tupu. Sitakujibu tena.

Amandla....
What about limitation of human right?
Au unaongea vitu huvijui.
 
What about limitation of human right?
Au unaongea vitu huvijui.
Limit pekee ya human right ni kuwa it does not cause any harm. Mwanzoni ilikuwa isi cause harm to other humans peke yake lakini siku hizi kuna watu wanai extend kwa wanyama, mimea na mazingira.

Ukiweza kuthibitisha kuwa uwepo wa mashoga unakuzuia kufaidi haki yako kama binadamu ndio watawekewa limit maana watakuwa wame cause harm. Bruised ego sio sababu.
Najua ninachoongelea. Kuliko wewe.

Amandla...
 
Kabla ya Declaration ya universal human rights kuna watu ambao walihesabiwa kuwa hawastahili kutambuliwa kama binadamu. Adolph Hitler alitangaza kuwa wayahudi sio binadamu kama wajerumani na akachukua hatua za kuwatokomeza katika uso wa dunia. Wazungu wa Marekani walimhesabu mtu mweusi kuwa sio binadamu kamili ndio maana wakaweza kuwageuza bidhaa inayouzwa na kununuliwa. Kuna sheria Marekani ilisema mtu mweupe hawezi kuadhibiwa kwa lolote atakalomfanyia mtu mweusi ikiwa pamoja na kumuua kwa sababu hana tofauti na mnyama anayemmiliki. Katika sehemu nyingi, wanawake hawakuhesabiwa kuwa ni binadamu kamili ndio maana hawakuwa na haki ya kupata elimu, kupiga kura na walipoolewa waume wao walikuwa na haki ya kuwafanya lolote wanalotaka.
Ni baada ya vita kuu ya pili ya dunia, ambapo ulimwengu uliona uovu unaoweza kufanyika kama kundi moja (wajerumani) litahesabu lingine ( wayahudi) sio binadamu kamili ndio ikaja hiyo Declaration of Universal Human Rights. Neno universal liliwekwa kuonyesha kuwa haki hozi hazina mipaka. Ndio maana kumnyima haki ya kuishi kama binadamu mwingine mtu ambae ni shoga ni kukiuka haki zake kama binadamu.

Hayo mengine unayoongea ni gibberish tupu. Sitakujibu tena.

Amandla....
Sikuwa na interest ya kufanya debate na wewe hata hivyo nlishangaa kwanini ulijitokeza kufanya debate.Vyote unavyosema hakuna kigeni acha kurudia vitabu ambavyo nshamaliza kusoma.Kila la kheri simamia unachoamini kitakuvusha ila sio kututea ushoga
 
Anaandika Ezekiel Kamwaga:

Tuwe makini

Kuna fasheni imeanza ya watu kujionyesha wana msimamo mkali dhidi ya ushoga. Taratibu, jambo ambalo liko mbali sana kwenye matatizo yetu linaanza kukuzwa kwa sababu linagusa hisia za wengi. Hata hivyo, tutapoteza mwelekeo kama tutaanza kuwaona ‘mitume’ hawa wa Kupinga ushoga kama ndiyo watu wa muhimu zaidi. Nchi kubwa zimeanza kuyumba baada ya kuwafanya watu wanaojadili mambo madogo kuwa wa maana na kudharau wale wenye mawazo makubwa yenye kuondoa shida kubwa. Matatizo ya Tanzania yanajulikana. Kuna shida kubwa ya ajira kwa vijana wetu

Wapo viongozi wamesema hilo ni bomu. Vijana wenye nguvu, maarifa na ujuzi lakini wenye njaa na hasira ni tatizo kubwa kuliko ushoga. Tuna tatizo la mamilioni ya Watanzania kuwa nje ya mfumo wa Bima ya Afya na wanafilisika kwa kuugua au kuuguza. Kuna tatizo la ubora wa elimu yetu

Kwenye kukabiliana na changamoto za kisasa za duniani. Kuna tatizo la utayari wetu kujiandaa na majanga kwenye dunia hii ya mabadiliko ya TabiaNchi. Tutumie nguvu na maarifa zaidi kujadiliana mambo ambayo kweli ni shida kwetu. Tukienda na hii njia tuliyoanza, tutakuja kuchagua

Viongozi ambao sifa yao kubwa ni kupinga ushoga. Hiyo tu. Analysis ya siasa za siku hizi inaonyesha kwamba viongozi/wanasiasa wanaopoteza muda na vitu vya hisia ni wale ambao hawana majibu ya maswali magumu yanayokabili jamii zao wakati huo. Wanabaki kuwa watu wa vitu vidogo
nilitaka kushangaa mashoga wasijitokeze kujibu mapigo.

unaogopa utakuwa cancel ughaibuni.wacha ushoga.,ushoga ni laana kamwaga.
 
Mbona mnakuwa waongo wa kupitiliza. Wapi nimetaja cultural diversity? Human rights ni moja tu na haijalishi context.

Mpaka sasa hivi hamna aliyesema hizo NGO zinazowageuza watu kuwa mashoga zinatumia mbinu gani ili waendelee kuwa mashoga na wanapata faida gani.

Huyo mtoto atakuwa alikuwa shoga toka awali lakini alipogundulika akaona awasingizie NGO. Hizi NGO zinazolaumiwa zinajihusisha na watu ambao tayari ni mashoga na sio kuwafundisha ushoga wasio mashoga. Hivi hapo ulipo unaamini kweli kuna mtu anaweza kukushawishi kuwa shoga kama hautaki?
Amandla...
Huenda na wewe ni shoga ndo sababu hujaelewa point yangu kuhusu cultural diversity as per current Human Right paradigm,Shame on you unakaza misuli kutetea ushoga bila kujali athari Kwa jamii at large
 
Huenda na wewe ni shoga ndo sababu hujaelewa point yangu kuhusu cultural diversity as per current Human Right paradigm,Shame on you unakaza misuli kutetea ushoga bila kujali athari Kwa jamii at large
Mkishindwa kutetea hoja zenu mnakimbilia kumuita mtu shoga. Nifahamishe basi hiyo cultural diversity imekuwa reflected wapi kwenye the Universal Declaration of Human rights.
Nitajie athari tatu ambazo jamii at large inapata kutokana na uwepo wa James Delicious.

Amandla...
 
Anaandika Ezekiel Kamwaga:

Tuwe makini

Kuna fasheni imeanza ya watu kujionyesha wana msimamo mkali dhidi ya ushoga. Taratibu, jambo ambalo liko mbali sana kwenye matatizo yetu linaanza kukuzwa kwa sababu linagusa hisia za wengi. Hata hivyo, tutapoteza mwelekeo kama tutaanza kuwaona ‘mitume’ hawa wa Kupinga ushoga kama ndiyo watu wa muhimu zaidi. Nchi kubwa zimeanza kuyumba baada ya kuwafanya watu wanaojadili mambo madogo kuwa wa maana na kudharau wale wenye mawazo makubwa yenye kuondoa shida kubwa. Matatizo ya Tanzania yanajulikana. Kuna shida kubwa ya ajira kwa vijana wetu

Wapo viongozi wamesema hilo ni bomu. Vijana wenye nguvu, maarifa na ujuzi lakini wenye njaa na hasira ni tatizo kubwa kuliko ushoga. Tuna tatizo la mamilioni ya Watanzania kuwa nje ya mfumo wa Bima ya Afya na wanafilisika kwa kuugua au kuuguza. Kuna tatizo la ubora wa elimu yetu

Kwenye kukabiliana na changamoto za kisasa za duniani. Kuna tatizo la utayari wetu kujiandaa na majanga kwenye dunia hii ya mabadiliko ya TabiaNchi. Tutumie nguvu na maarifa zaidi kujadiliana mambo ambayo kweli ni shida kwetu. Tukienda na hii njia tuliyoanza, tutakuja kuchagua

Viongozi ambao sifa yao kubwa ni kupinga ushoga. Hiyo tu. Analysis ya siasa za siku hizi inaonyesha kwamba viongozi/wanasiasa wanaopoteza muda na vitu vya hisia ni wale ambao hawana majibu ya maswali magumu yanayokabili jamii zao wakati huo. Wanabaki kuwa watu wa vitu vidogo
Huyu hana akili, labda nayeye ni shoga ndiyo maana anataka tuone hili tatizo ni dogo
 
Mkishindwa kutetea hoja zenu mnakimbilia kumuita mtu shoga. Nifahamishe basi hiyo cultural diversity imekuwa reflected wapi kwenye the Universal Declaration of Human rights.
Nitajie athari tatu ambazo jamii at large inapata kutokana na uwepo wa James Delicious.

Amandla...
Rudi ukasome vzr yaani ulishakariri hiyo Universal Declarion of Human Right basi umemaliza? Nambie hiyo Universal Declaration of Human Right ilipokuwa issued has it been static au kuna other developments?
 
Mbona una jiumauma. Taja basi hizo developments zinazo zungumzia cultural diversity? Wewe umesema ipo, mimi nimesema haipo basi weka uthibitishe kuwa uko sahihi.

Amandla....
 
Mbona una jiumauma. Taja basi hizo developments zinazo zungumzia cultural diversity? Wewe umesema ipo, mimi nimesema haipo basi weka uthibitishe kuwa uko sahihi.

Amandla....
Hii siyo proper forum ya kuanza kukufundisha at free cost wewe champion wa ushoga .Nimekwambia kafanye research siyo kukurupuka na kukariri na ku misinterpret hiyo Universal Declaration of HR Ili ku- justify uchafu wako wa ushoga.Hizi habari za Human Right ni very diverse Kwa mtu uliyekwishapotoka kama wewe inahitaji muda wa kutosha which I am not ready to waste my time
 
Back
Top Bottom