Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Mbona mnakuwa waongo wa kupitiliza. Wapi nimetaja cultural diversity? Human rights ni moja tu na haijalishi context.Nadhani na wewe unataka kupotosha kwani human right inatakiwa izingatie cultural diversity hivyo right ya kutambua ushoga Marekani siyo lazima iwe hivyo Tanzania ambako customs zetu hazi-embrace kitu hiyo.Wadau wengi hawapingi rights of existence as human being ya hao mashoga,lakini tabu ni hapo sasa Taasisi mbalimbali kama some NGOs kuhamasisha our young generation Ili wajiunge na kadhia hiyo ambayo hata workforce yetu ya kesho Kwa mfano Jeshini cjui itakuwa na quality yenye utata.Kama Museveni alivyosimamia hoja yake kuwa kama Mashoga wote wangekuwa ni inborne kutokana na kuzaliwa hivyo basi kungekuwa na hoja ya kutopiga vita ushoga .Nashauri,Kila anayejadili hii mada avae viatu vya mfano wa mzazi ambaye kapeleka mwanae shule halafu baadae anakuja kugundua baadae kuwa kijana wake si ridhiki simply tu Kwa sababu kuna NGO ilimshawishi na kutoa incentive mbalimbali na kum-recruit kuwa shoga,it is so painful
Mpaka sasa hivi hamna aliyesema hizo NGO zinazowageuza watu kuwa mashoga zinatumia mbinu gani ili waendelee kuwa mashoga na wanapata faida gani.
Huyo mtoto atakuwa alikuwa shoga toka awali lakini alipogundulika akaona awasingizie NGO. Hizi NGO zinazolaumiwa zinajihusisha na watu ambao tayari ni mashoga na sio kuwafundisha ushoga wasio mashoga. Hivi hapo ulipo unaamini kweli kuna mtu anaweza kukushawishi kuwa shoga kama hautaki?
Amandla...