chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Baada ya Chadema kuupinga udikteta kwa miaka mingi, sasa wameamua kumkaribisha dikteta mezani kwao.
Mpaka sasa anapingana na maamuzi ya kila kikao cha chama cha kidemokrasia, anasema yeye mwenyewe ataenda kupindua maamuzi ya chama hata kama vikao havitaki.
Hapa ndipo chadema itapasuka kwa kuwa wajumbe wa vikao watamgomea, na inawezekana akapigiwa kura ya kutokuwa na imani na kufurushwa kama dikteta yeyote. Madikteta wengi wa aina ya Lissu huwa hawamalizi muda wao madarakani, baadhi yao ni Idd Amin Dada, Bokasa, na Mobutu.