Pre GE2025 Ezekiel Kamwaga: Tundu Lissu anaweza kuwa Dikteta mtarajiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Baada ya Chadema kuupinga udikteta kwa miaka mingi, sasa wameamua kumkaribisha dikteta mezani kwao.

Mpaka sasa anapingana na maamuzi ya kila kikao cha chama cha kidemokrasia, anasema yeye mwenyewe ataenda kupindua maamuzi ya chama hata kama vikao havitaki.

Hapa ndipo chadema itapasuka kwa kuwa wajumbe wa vikao watamgomea, na inawezekana akapigiwa kura ya kutokuwa na imani na kufurushwa kama dikteta yeyote. Madikteta wengi wa aina ya Lissu huwa hawamalizi muda wao madarakani, baadhi yao ni Idd Amin Dada, Bokasa, na Mobutu.

View attachment 3188607View attachment 3188607
Kuna Siku niliona BBC wanajadiliana na KAMWAGA masuala ya Siasa.

Et wanamuita "Mchambuzi wa masualà ya Siasa Tanzania".

Nikajiuliza, huyu huyu KAMWAGA ambaye kwenye Mpira yupo, masuala ya Palestine yupo, masuala ya kubeti yupo, masuala ya biashara yupo, n.k nmk.

KAMWAGA NI MTU MMOJA MJANJA MJANJA SAWA NA AKINA YERICKO.

WATU WA AINA HII ,HUJITAHIDI SANA KUJUA VITU VINGI TOFAUTITOFAUTI ILI KUONEKANA HAWAPO NYUMA.

NDIO MAANA ,UKISIKILIZA MAHOJIANI YAKE YOYOTE YALE, UTAGUNDUA KAMWAGA ANA UELEWA MDOGO MNOO WA MASUALA.

HIVO HANA CREDIBILITY YA KUMCHAMBUA TUNDU LISSU.

KAMWAGA, NI WAKUPUUZA TU.

LISSU kisiasa, anachambuliwa na Akina Dr Lwaitama, Prof Kabudi , Dr Bashiru , Prof Shivji n.k

Ndugu zangu watanzania, narudia kuwaambia na ninawahakikishia Toka Akilini na Moyoni mwangu BRAIN YA TUNDU LISSU, NI BRAIN ZA ISRAEL HUKO WATU WENYE UWEZO MKUBWA WA AKILI WANAOIENDESHA DUNIA, NI WATU WALOBARIKIWA, NA WANAOCHAGULIWA NA MUNGU....hiii ibakie kua hivohivo tu na igongelewe Msumari.
 
Sasa Mdude na bangi zake ndio hovyo kabisa. Naona safari hii amechokolewa rumande mpaka haongei tena
Mdude kamuulize mamayenu huko lumumba anamjua vizuri Hadi akisikia jina lake tu anapandwa chembamoyo.
 
Mkuu, wanasema wewe ni chawa mwandamizi
Kina nani wanasema?. Mimi ni mzalendo kwa serikali iliyopo ikulu, nilikuwa nyuma ya hayati JPM na sasa nipo na Samia, ninaangalia zaidi substance inayoongelewa kwenye mada sichangii mada kivyepesi tu.
 
Baada ya Chadema kuupinga udikteta kwa miaka mingi, sasa wameamua kumkaribisha dikteta mezani kwao.

Mpaka sasa anapingana na maamuzi ya kila kikao cha chama cha kidemokrasia, anasema yeye mwenyewe ataenda kupindua maamuzi ya chama hata kama vikao havitaki.

Hapa ndipo chadema itapasuka kwa kuwa wajumbe wa vikao watamgomea, na inawezekana akapigiwa kura ya kutokuwa na imani na kufurushwa kama dikteta yeyote. Madikteta wengi wa aina ya Lissu huwa hawamalizi muda wao madarakani, baadhi yao ni Idd Amin Dada, Bokasa, na Mobutu.

View attachment 3188607View attachment 3188607
Kabisa, asipewe nafasi CDM ataharibu mno!
 
kimkabidhi lisu(mwehu) uongozi wowote ni kuleta tafrani kama mwendazake
 
Kamwaga ameshakula mgao wa Abdul tayari. Kwahiyo ameanza rasmi kumtetea mzee Mbowe.
 
CCM ikishirikiana na nyumbu wa Mbowe inafanya juhudi kubwa sana Lissu asiwe mwenyekiti wa Chadema. Kumbe Mr Liverpool naye ni fala kiasi hiki. Kweli hela ya Abdul inapiga kazi kinoma
 
Baada ya kura kuhesabiwa TAL atakimbia nchi!

Ukumbuke,anagombea uongozi bila ridhaa ya familia yake!

Matokeo yake,kuanguka kwake,kutakuwa furaha ya familia yake
 
Back
Top Bottom