Ezekiel Kamwaga no mwandishi wa habari, kwa hiyo ametoa maoni yake kuhusu uchaguzi huu. Kwa hiyo angesema mzazi amemtuma mwanaye kumuhomga Lissu, ungechukua mawazo yake Kamwaga na kusema CCM wameamua kumsimamisha mtoa rushwa?A MamaBaada ya Chadema kuupinga udikteta kwa miaka mingi, sasa wameamua kumkaribisha dikteta mezani kwao.
Ndio yule Chahali au mwingine,ili tujue kama tunapo pa ku komenti au laa?Baada ya Chadema kuupinga udikteta kwa miaka mingi, sasa wameamua kumkaribisha dikteta mezani kwao.
Mpaka sasa anapingana na maamuzi ya kila kikao cha chama cha kidemokrasia, anasema yeye mwenyewe ataenda kupindua maamuzi ya chama hata kama vikao havitaki.
Hapa ndipo chadema itapasuka kwa kuwa wajumbe wa vikao watamgomea, na inawezekana akapigiwa kura ya kutokuwa na imani na kufurushwa kama dikteta yeyote. Madikteta wengi wa aina ya Lissu huwa hawamalizi muda wao madarakani, baadhi yao ni Idd Amin Dada, Bokasa, na Mobutu.
View attachment 3188607View attachment 3188607
Vyawa wapo kazini na huu ni msimu wa kutengeneza pesa kutoka kwa hao wagombea.Siku anagombea; kinyume na mwenyekiti wenu? Pumbavu kabisa, Bora chama cha Ubwabwa aisee, at least he is honesty!
Ni Sawa ukikubali ndoa usilale ni chupi manka ππMaamuzi ni ya kidemokrasia. Sasa wewe mpaka sidiria jamaa anakuchagulia
Lisu ndio alimpa ubunge Kenani kama hujui πππKamwaga yuko sahihi. Lissu akiwa kwenye udikteta wake alikuwa hamtambui hata Mbunge Kinani aliyechaguliwa na wananchi.
Mkuu, wanasema wewe ni chawa mwandamiziVyawa wapo kazini na huu ni msimu wa kutengeneza pesa kutoka kwa hao wagombea.
Nailaumu awamu ya sita ya Samia, imetengeneza hulka ya watu kutoona aibu kujulikana kwamba wao ni wapambe wa tajiri fulani.
Ujinga wa Mwijaku na Baba Levo haukuonekana wakati wa awamu ya hayati JPM.
Yani wapumbavu wa ccm ndio tutegemee hoja za maana kutoka kwao.Baada ya Chadema kuupinga udikteta kwa miaka mingi, sasa wameamua kumkaribisha dikteta mezani kwao.
Mpaka sasa anapingana na maamuzi ya kila kikao cha chama cha kidemokrasia, anasema yeye mwenyewe ataenda kupindua maamuzi ya chama hata kama vikao havitaki.
Hapa ndipo chadema itapasuka kwa kuwa wajumbe wa vikao watamgomea, na inawezekana akapigiwa kura ya kutokuwa na imani na kufurushwa kama dikteta yeyote. Madikteta wengi wa aina ya Lissu huwa hawamalizi muda wao madarakani, baadhi yao ni Idd Amin Dada, Bokasa, na Mobutu.
View attachment 3188607View attachment 3188607
Ccm imejaa mapumbavu kama viongoz waoHakika