Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Amekuwa bumunda tena?Mjumbe senior wa Kamati Kuu ya Chadema?Anasema yeye ni kenge katoka ziwani na anawaambia mamba anaumwa.Bora hilo bumunda limeenda huko mboga mboga
Chadema ya Sasa hakuna lofa ataishiAmekuwa bumunda tena?Mjumbe senior wa Kamati Kuu ya Chadema?Anasema yeye ni kenge katoka ziwani na anawaambia mamba anaumwa.
Write your reply...mnyika na bon yai tarehe 24
Huyu alishajiunga siku nyingi.... Nyoka kwenye vyama vya siasa wako kila mahali. Samia mwenyewe alikuwa ni nyoka wakati wa Magufuli. Na sasa hivi kuna nyoka wengi tu na watamwangusha...Tukiwaambia mlifanya kazi na nyoka hamuelewi
Ni mjinga tu atakayeshangilia mtu kuhama au kuhamia kwenye chama cha siasa zama hizi. Haya mambo hayajaanza leo na mbaya zaidi huwa hayana impact yoyote au kuleta unafuu kwa CCM. Bila kutimiza majukumu na maisha ya wananchi yakaboreka hata wangehama wote.. sana sana mambo yanazidi kuvurugika.Write your reply...mnyika na bon yai tarehe 24
Nilijua huyu baba awezi kujishikilia muda wote CHADEMA, na hivi alitajwa sana na Lissu kwenye hela za Duli basi ilikuwa ni suala la muda tu😂
===========
Mbunge wa zamani wa Nyamagana na mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya ziwa Victoria Ezekiel Wenje leo amatengaza rasmi kuhamia CCM na kukikacha CHADEMA baada ya kukitumikia kwa miaka kadhaa.
Kazi ambayo imefanya CCM tangu tumepata uhuru ni jambo kubwa sana ni suala la nchi kuwa na amani na utulivu, amani na maendelea ni mapacha nchi ikiwa na shida hakuna mama ntile barabarani, wauza mboga, hakuna bodaboda amesema Wenje
Ila CHADEMA atukuzuwia kushiriki uchaguzi bali waliweka mpira kwapani wenyewe