GE2025 Ezekiel Wenje ajiondoa CHADEMA na kujiunga rasmi na CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ameenda kumuandalia makao mzee Mbowe?​
 
Kama roho huwa zinaishi baada ya kufa, basi roho ya mdogo wake Wenje ina hali ngumu sana muda huu.

Mdogo wake aliuawa na CCM kule kwao Ujaluoni, huyo Wenje mwenyewe aliponea chupuchupu. Leo Ezekiel Wenje ameenda kuungana na waliomuua mdogo wake. Nchi pasua kichwa sana hii.
 
ezeckia Wenje ameumaliza mwendo njoo ccm tujenge nchi
 
Reactions: Tui
Hamna permanent friends wala permanent enemies kwenye siasa. Wacha kuwa naive
 
utaliwa opera mini
 
Hamna permanent friends wala permanent enemies kwenye siasa. Wacha kuwa naive
Yaani kuijunga na waliomuua kaka yako unaona ni jambo la kawaida? Uhai haina thamani kiasi hicho? Mjane na watoto wa marehemu kaka yake Wenje wanamuonaje Wenje leo?
 
Sio wengi wanaoweza kuweka maslahi ya taifa mbele. Huyu hana ujanja wa kukataa mabilioni ya Duli.
 
Rushwa ni adui wa haki. Lissu angekuwa ni mchumia tumbo kama Wenje na makada wengi walio ikimbia Chadema, angekubali kupokea lile begi la hela alilopelekewa nyumbani kwake na Abdul akisindikizwa na huyu Wenje.
ata yeye ana target zake za akutinga ikulu apige pesa
 
Chadema ini sawa na nyoka anayejivua gamba.
Magambo yote yatatoka, kitabaki chama safi kinachopendeza na imara zaidi.
Go CHADEMA GO!
 
Chadema ini sawa na nyoka anayejivua gamba.
Magambo yote yatatoka, kitabaki chama safi kinachopendeza na imara zaidi.
Go CHADEMA GO!
Tatizo la nyoka hata akijivua gamba anabaki nyoka tu.Kuifananisha Chadema na nyoka you made my day.
Wote wanajua sifa za nyoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…