GE2025 Ezekiel Wenje ajiondoa CHADEMA na kujiunga rasmi na CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mpaka sasa Lissu ndio mpinzani wa kweli kwenye hii nchi.
 
Reactions: Tui
mm na wewe nan anamjua lissu vizuri? ushawahi ata kuwasiliana nae
Sawa mboga mboga, unaweza ukawa unamfahamu zaidi na huenda mmeshajaribu kupeleka mzigo ukagonga mwamba maana kwa kugawa mlungula hamjambo.
Huu uandishi wako wa hovyo unakutambulisha vyema kwamba ni kijani.
 
Kachoka kukaa na keyboard warriors wazee wa mikwara milioni vitendo 0
 
Reactions: Tui
Nikishaona Kiongozi wa Upinzani, anakuwa na uswahiba mkubwa na wanaccm. Anakuwa mwingi wa kuwapamba, mara kuwawish birthday njema na vimaneno vingi, basi huyi najua its a matter of time, anaenda ccm.
 
Sawa mboga mboga, unaweza ukawa unamfahamu zaidi na huenda mmeshajaribu kupeleka mzigo ukagonga mwamba maana kwa kugawa mlungula hamjambo.
Huu uandishi wako wa hovyo unakutambulisha vyema kwamba ni kijani.
siasa nii michezo tu., ukiwa na fungu usajili unafanyika
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…