Ezekiel Wenje Chadema Haina Pesa?

K
Kila mwanadamu ana mapungufu yake lakini si kigezo cha wewe kutaka Mbowe awe mungu awe malaika wakati ni mwizi kama wezi wengine na huko mahakamani unakotaka apelekwe atapelekwa pindi uongozi mpya ukiingia madarakani na kuibua ufisadi madudu yake yote ikiwemo Rushwa ya Ngono kwa viti maalum kama RK na P Diddy
 
Mbowe huiba pesa za chadema na kujimilikisha kienyeji na baaadae huzitakatisha kwa kisingizio cha kukopesha chama au kujitolea pesa zake mfukoni, Pesa ya chadema inaibiwa bila kujua kisha kugeuka mali halali za mbowe ni wizi Hatari sana
 
Mbowe aliwageuza wanachadema mazezeta alikuwa akila pesa zao kiulaini sasa wameamka, hakuna mabaya yasiyo na mwisho, kila kitu kina mwisho wake, ingawa kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na mdee wenje na Boniface watahakikisha Mbowe anakuwa mwenyekiti watambue kuwa chadema inaenda kuwa TLP NCCR na CUF ya Lipumba
 
Uliwahi kuhoji hayao matumizi ya pesa ndani ya chama na hawakukujibu?

Matumizi gani mabaya ndani ya chama, au ubaya wa hayo matumizi ni upi? Ungekuwa specific na maswala yako, toa mifano hai... " kaiba pesa kiasi fulani, hayo yana thibitica kwenye financial statement ya mwaka fulani". Mwizi hapigiwi kelele JF, bali anashitakiwa mahakamani.

Pesa zipi za chama unazouliza ziko wapi?

Lini CCM wamesema wana taka kuinunua chadema?

Hiyo Rushwa ya Abdul imethibitishwa wapi na nani?

Maana hakuna yeyote mnayemjua kapokea hizo pesa, na kiasi gani, kutoka account gani na kwenda account gani au hata cash?

Mnapiga kelele tu, kama mnaushahidi muuweke hapa nasi tuuone tuwaunge mkono, na siyo maneno matupu.

Mmeanza lini kuisema hii rushwa, hamjapata ushahidi tu mpaka leo?

kama ushahidi upo upelekwe takukuru au mahakamani na wahusika wachukuliwe hatua.

Nyie mna-mtaka Lisu, siyo change.

Lisu ni makamu mwenyekiti wa Chadema. Kwa kipindi alichohudumu kwenye nafasi hiyo kama anauwezo wa kuleta change angeshaileta. Au tuambie tangu kawa makamu mwenyekiti kafanya nini kuashiria uwezo huo mnaouona leo?

Weka mfano wa mabadiriko aliyoleta akiwa makamu mwenyekiti, au alichukua cheo akakaa tu kama wengine, halafu mnasema ataleta mabadiriko akiwa mwenyekiti?

Nyie mko karibu na Tundu Lisu, manchotafuta ni kumuingiza madarakani ili muweze kupata nafasi za uongozi ndani ya chadema. Mmezikosa chini ya Mbowe, hivyo mmemfanya adui wenu.
 
Ukisema aliiba nini, lini na wapi kwa ushahidi, wala hatutozungumza yoote haya. lakini shutuma za maneno tu bila ushahidi wowote, mnapoteza muda wenu.

Rushwa za ngono hazihitaji atoke madarakani, Lisu na wanasheria wenzake wanafahmu hilo.

Aliyeombwa rushwa ya ngono nani ajitokeze kwa ushahidi isije kuwa tu kama Chiku Abwao na Mrema, ushahidi wa kutengenezwa ccm.

vinginevyo ushahidi uliopo na mlio nao unatosha kumpeleka mahakamani siyo lazima atoke, hiyo pekee inaweza kumuondoa madarakani, kushitakiwa kwa wizi wa mali za chama.

Sema hamna ushahidi mnatafuta huruma za watu wasiojielewa.

Ufisadi kama upo upo tu hauwezi kusubiri mtu atoke madarakani, kama mnao ushahidi mahakama inaweza kumuondoa, kwa kusaidiana na ofisi ya msajiri, ili apishe uchunguzi.

Mungu siyo Mbowe, Mungu ni Lisu mnayetaka kila mtu amtizame mnavyomtizama nyie.
 
Chadema ni duka saccos ya mbowe kwani huendesha chama kidikteta idara ya pesa yupo peke yake hata katibu mkuu mnyika hana mamlaka juu ya pesa za chama
 
Ushahidi uletewe ghetto kwako? Ukitaka ushahidi subiria Mbowe ang’oke uenyekiti na madudu yake yote yawekwe wazi, wewe ni mnufaika wa wizi wa mbowe hata uletewe ushahidi utajitoa fahamu na kuukataa, endelea kula pesa za mbowe lakini mjue hakuna kisicho na mwisho, wizi wenu una mwisho maovu yenu yana mwisho kila baya lenu lina mwisho wake
 
Wanufaika wa wizi wa mbowe wanataka ushahidi ili wapate kubuni mbinu zingine za kuiba, ushahidi hampewi sasa siku ya mwisho wa kampeni ndipo kila kitu kitawekwa wazi ili wapiga kura waamue sasa
 
Hahaha kumbe huna hoja ni chuki binafsi zinakusumbua. Mbowe hang'oki na madudu yake sijui mtatembea nayo mpaka lini au mpaka wapi.

Najua hamna ushahidi, mnaweweseka tu.
 
Wewe binafsi, kabla uzi haujaa wanga, umewahi kutoa mchango wowote chadema, au kulipia ada ya uanachama wako?
Sio lazima kuchangia, Sabodo alichangia chadema milioni 100 akiwa mwana ccm...unasemaje hapo?!.
Mbowe miaka 21 uenyekiti inatosha sasa, twende na lissu kiboko ya ma ccm yote!
 
Umenena vema kabisa mkuu huu ndiyo ukweli ambao nyumbu wa Sultan Mbowe hawataki kuusikia. Mbowe akilazimisha kuendelea na uenyekiti Chadema inakwenda kudhoofika sana.
 
Una kabichwa kadogo ushaambiwa pesa inapigwa kwenye madeni ya chama .....sasa CAG akikagua madeni yaliyolipwa unataka aseme pesa imepigwa?
Kama ni mwelewa huwezi kubishia kifo cha chadema.....wewe unaona chadema ya 2010-2015 inalingana na hii ya leo?

Mpaka leo chama kinategemea fedha kutoka mfukoni mwa mtu halafu useme pana uongozi hapo?
 
Mi nafikiri, badala ya kuhoji sana ungelitwambia au ingeliuliza kwamba pesa ambayo wewe unachangia Chadema kwa mwaka ni shilingi ngapi na zinzfanya nini mpaka Mbowe aongeze za kwake?
 
Nanyego umepiga kwenye mshono masauala ya mapato na matumizi ya chama huwa yanakaguliwa naCAG Kila mwaka na ripoti yake hujadiliwa na bunge la ccm hakuna wakati wowote aliwahi kutoa hati chafu kwa cdm sasa hayo mnayosema kuwa MBOWE anakula fedha za chama mtoa wapi?
 
Ndugu palm beach nikwamba mapoto na matumizi ya chama yanakaguliwa Kila mwaka na serikali kupitia kwa CAG alafu masauala ya fedha Yanasimamiwa na katibu mkuu wa chama nasio mwenyekiti na matumizi yanapangwa na kamati KUU ya chama amboyo lissu pia ni mjumbe kwa muda wa miaka 20 lkn hajawahi toka adharani na kusema hayo anayoyasema leo
 
Chama 2010-2015 kilikuwa na wabunge wengi, sasa hivi kinao wachache.

Hakuna pesa ina pigwa, ni wivu wa kitanzania tu unawasumbua.

Vikao vinaweza kuamua chama kisikopeshwe na Mbowe, badala yake kikaenda kukopa NMB au CRDB.

Mna hisia zenu tu kwamba kwasababu mkopeshaji ni Mbowe basi anaiba.

Chadema siyo kampuni ya kibiashara ni chama cha siasa. Kama wanachama hawachangi za kutosha, na hakina ruzuku ni lazima kikope kuendesha shughuli za kichama.
Wivu ndio unawasumbua, sasa CAG unadhani inakagua nini? report yake inakagua makosa ya kifedha, mapato ma matumizi, kukuwa na upotevu wa pesa tutauona kwenye report.
 
Maeleezo mengiii (in sugu's voice) pumba tupu! Safari hii ccm wametushika pabaya! Mbowe anashinda ila jahazi ndo linazama hivyo! Tujiiandae ACT kuwa the leading opposition party. Mbowe will be remembered as a hero to CCM for killing his own legacy
 
Maeleezo mengiii (in sugu's voice) pumba tupu! Safari hii ccm wametushika pabaya! Mbowe anashinda ila jahazi ndo linazama hivyo! Tujiiandae ACT kuwa the leading opposition party. Mbowe will be remembered as a hero to CCM for killing his own legacy
Tatizo lenu washabiki namyi mnaongelea mambo ya chama.

Mlitakiwa muwaachie wanachama, waongee mambo ya chama chao.
ACT hata Zanzibar haishindi tena, na Tanganyika ndio sahau kabisa, hata kigoma hawapati hata jimbo moja.

Mnamchukia Mbowe kwanini msimuache afe na chama chake?

Hata msimkumbuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…