minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
K
Kila mwanadamu ana mapungufu yake lakini si kigezo cha wewe kutaka Mbowe awe mungu awe malaika wakati ni mwizi kama wezi wengine na huko mahakamani unakotaka apelekwe atapelekwa pindi uongozi mpya ukiingia madarakani na kuibua ufisadi madudu yake yote ikiwemo Rushwa ya Ngono kwa viti maalum kama RK na P DiddyHahaha unamatatizo wewe, wapi nimesema mwanchama ni mimi tu? Na wapi nimeongelea habari za Lisu na Mbowe? Nikujue ili iweje sasa?
Kama unataka tujadili hayo ya Mbowe na Lisu ungesema tangu mwanzo.
Wafuasi wa Lisu mnamatatizo sana, mnataka kila mtu afikiri kama nyie. Sipendi tabia zenu kuhukumu watu bila ushahidi, manajaza watu ujinga mkiulizwa ushahidi hamna.
Chadema haifi, ila mjifunze kuwa na staha muelewe nini kinazungumzwa wapi na nani?
Sasa huo wizi wa Mbowe mliisha mshitaki mahakamani?
Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti, haelewi wizi ni kosa? Mliisha mshitaki huyo Mbowe kwa wizi wa mali za chama?
Na kwanini hamjaleta internal na external auditor ili watuletee ukweli wa wizi huo?
Lini CAG report ilionyesha matatizo?
Wekeni financial statement tuone kaiba wapi kaiba lini, na kiasi gani?
Nyie mnampenda Lisu ndio chaguao lenu, acheni na wengine wawe na uhuru wa kuchagua. Mtizamo wako siyo wangu.
Hakuna tuhuma dhidi ya Mbowe mmewahi kuithibitisha popote. Hivyo yote mnayozusha ni uongo.
Lisu ni wakili, na ana mawakili wengi nyuma yake, wanaweza kujitolea kumfungulia Mbowe mashitaka, ya wizi na ubadhilifu wa mali za chama. Mmeamua kuyasema maovu yake hadharani, kwanini msiyapeleke mahakamani?
Lisu siyo Mungu, anamapungufu lukuki lakini mnayaona ni sifa kwasababu ya mapenzi mliyonayo kwake.
Kama chadema itakufa na ife tu, Lisu ana uwezo mzuri wa kuandika katiba ya chama bora duniani, atafanya hivyo na atasajiri chama kipya na wafuasi tayari anao, tatizo liko wapi?