Huyu mazafaka hafai hata kuongoza mbuzi kwenda mtoni kunywa maji. Sijui alichaguliwaje kuwa Mwenyeketi wa Kanda ya Victoria!Wakuu,
Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar Es Salaam Oktoba 23, 2025 alisema:
Leo nataka niwakele, uongozi unaanza kwenye familia, ukiona baba wa familia yupo gerezani zaidi ya miezi mitatu na mke hajawahi kwenda kumuona wala watoto ujue kuna shida sana hapo, hakuna uongozi. Haiwezekani watoto wawe Marekani washindwe kuja kukuona, hapo hakuna Uongozi.”
View attachment 3492643
Familia imemuona ni kipengele siyo
Wewe uliyempeleka Abdul kwa Lissu kumhonga unaongea nini? Eti ulitaka uwe makamu mwenyekiti? Wewe ungeliharibu CHADEMA, Kwa taarifa yako Lissu ndiye mpinzani wa kweli....siyo wewe au Mbowe, nyie ni msio na akili mnanulika. Siyo ajabu miezi mitatu kutomuona mwenzi wako. Unashangaa nini? Mandela alikaa miaka 27 jela, maisha ni sacrifice.Wakuu,
Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar Es Salaam Oktoba 23, 2025 alisema:
Leo nataka niwakele, uongozi unaanza kwenye familia, ukiona baba wa familia yupo gerezani zaidi ya miezi mitatu na mke hajawahi kwenda kumuona wala watoto ujue kuna shida sana hapo, hakuna uongozi. Haiwezekani watoto wawe Marekani washindwe kuja kukuona, hapo hakuna Uongozi.”
View attachment 3492643
Wenje nae anaanza ujinga, family visitation to a person in prison is a family matter, it falls under the right to privacy, sio vitu vya kutangazwa in public. Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!Wakuu,
Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar Es Salaam Oktoba 23, 2025 alisema:
Leo nataka niwakele, uongozi unaanza kwenye familia, ukiona baba wa familia yupo gerezani zaidi ya miezi mitatu na mke hajawahi kwenda kumuona wala watoto ujue kuna shida sana hapo, hakuna uongozi. Haiwezekani watoto wawe Marekani washindwe kuja kukuona, hapo hakuna Uongozi.”
wale ni wapigania haki, mlitaka waje front line na familia zao? Wapi hiyo ipo?Lissu na Lema ni wahuni wanaochochea watoto wa wengine kuingia matatizoni huku zao zikila bata majuu.
Ni kwasababu wote ni wale wale. Wamefilisika kihoja.Wenje nae anaanza ujinga, family visitation to a person in prison is a family matter, it falls under the right to privacy, sio vitu vya kutangazwa in public. Thread 'Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!' Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!
Mabumunda kama haya sijui kwanini CCM inayashobokea!!.
P
kipengele kivipi? Muachage ujingaFamilia imemuona ni kipengele siyo
Wenje ni fala sana huenda anavuta Bangi kwa Akili zake finyo kaona ameongea point kumbe anazidi kudharaulikaWakuu,