Ujinga anae wenje Dalali wa siasa aliyejitoa fahamu zotekipengele kivipi? Muachage ujinga
Matatizo ya utekaji na upoteaji hufanywa na Lissu na Lema ili wapate kiki huku serikali ys ccm wakiwaangalia kutokana na utekaji wanaofanya.Lissu na Lema ni wahuni wanaochochea watoto wa wengine kuingia matatizoni huku zao zikila bata majuu.
Mama ampe kazi ya uwalimu akafundishe maana sababu zote hizo dogo hana kazi ya kufanyaHuyu tumeshampuuza.. Kelele zake hizi ni za muda tuu kabla hajatupwa stoo kama kila msigwa peneza nk
Ila maneno yake Yana mantikiHuyu tumeshampuuza.. Kelele zake hizi ni za muda tuu kabla hajatupwa stoo kama kila msigwa peneza nk
Huwa namuona wenje kama mseeenge mseenge. Kama una wivuu si umtembelee wewe uridhishwe kumbaff kuba sana nyama kabisa mimi fanya chukia taka uuva mtu dugu yangu jinga toka tumboni ya mama yako.Wakuu,
Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar Es Salaam Oktoba 23, 2025 alisema:
Leo nataka niwakele, uongozi unaanza kwenye familia, ukiona baba wa familia yupo gerezani zaidi ya miezi mitatu na mke hajawahi kwenda kumuona wala watoto ujue kuna shida sana hapo, hakuna uongozi. Haiwezekani watoto wawe Marekani washindwe kuja kukuona, hapo hakuna Uongozi.”
View attachment 3492643
Acha kujifanya una uchungu na Lissu kuliko mke wake, mke wake mwenyewe hajawahi kwenda gerezani kumuona we ndo unajidai unampenda sanakipengele kivipi? Muachage ujinga
Ipi?Ila maneno yake Yana mantiki
Zipeleke tu na za kwako nje kwani kuna shida gani?Lissu na Lema ni wahuni wanaochochea watoto wa wengine kuingia matatizoni huku zao zikila bata majuu.
Ila Wenje nae hayuko sawa. Na Mimi niulize, ukiona mgombea fulani :mwanamke' tangu ameanza kampeni hatujawahi kuona mme wake jukwaani akimpigia kampeni tusemaje??? Au hapo ndiyo kuna uongoziWakuu,
Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar Es Salaam Oktoba 23, 2025 alisema:
Leo nataka niwakere, uongozi unaanza kwenye familia, ukiona baba wa familia yupo gerezani zaidi ya miezi mitatu na mke hajawahi kwenda kumuona wala watoto ujue kuna shida sana hapo, hakuna uongozi. Haiwezekani watoto wawe Marekani washindwe kuja kukuona, hapo hakuna Uongozi.”
View attachment 3492643