GE2025 Ezekiel Wenje: Ukiona miezi 3 mwanaume yupo gerezani na mke hajamtembelea, ujue sio kiongozi

GE2025 Ezekiel Wenje: Ukiona miezi 3 mwanaume yupo gerezani na mke hajamtembelea, ujue sio kiongozi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Lissu na Lema ni wahuni wanaochochea watoto wa wengine kuingia matatizoni huku zao zikila bata majuu.
Acha Ufala wewe Chawaccm msaidizi wa wenje, kwani Familia ya Wenje si wapo Canada hawapo Tanzania, wewe na Wenje mnavuta Bangi kisha kujiropokea hovyo hovyo pasipo kutafakari kwanza
 
Yani Familia ije ili muwateke nao?
Hamtaki kubakiza genes zao hata moja
Familia walikuwa wakiishi Tanzania vizuri kwa Amani kilichowakimbiza ni Manyanyaso ya mashetani wa ccm, aliyesababisha wakimbie sasa mnawaita waje muwateke muwaue wabambikiwe kesi za uongo
 
Hizi Bata za Mh. Mbowe hizi aisee !! Kazikimbia sasa hivi zinatangatanga, zingine Chaumma, zingine CCM yaani zinabakwa hovyo hovyo kwa mafungu hazina mwenyewe.
Pesa inayowalea kuwalisha kuwahudumia Chaumaccm ni nyingi sana na kama ingeelekezwa kwenye maendeleo mda huu Tanzania ingekuwa mbali kimaendeleo
 
Ila maneno yake Yana mantiki
Mantiki kwa mtu zuzu poyoyo juha mpumbavu mbumbu pekee, kwani hakuna asiyejua kuwa familia walikimbia Utekaji mauaji kuwabambikia kesi, hata familia ya chawa Dalali Wenje ipo Canada, mantiki zinasalia kwa wajinga jinga wa ccm pekee
 
Yaani ndiyo alikuwa anauza siri za CDM ,ana makasiriko baada ya TAL kukataa pesa za Dully.
Wenje ni mtu hatari sana kwani alikusudia kumteketeza Lisu kisiasa kwa manufaa yake, na sasa njaa zimemfanya kujitoa fahamu zote na kuongea ujinga wakati familia yake ipo Canada
 
Wenje ni mtu hatari sana kwani alikusudia kumteketeza Lisu kisiasa kwa manufaa yake, na sasa njaa zimemfanya kujitoa fahamu zote na kuongea ujinga wakati familia yake ipo Canada
Ameshaisha kama Pastor Msigwa Kinyambe.....mwache Dully amtumie kama Toilet Paper.
 
Haya Wenje tumekisikia.....unahangaika na TL ambae hagombei! Tujiulize kwanini asimpige vijembe Salim Mwalim?
Wenje ni mvuta Bangi kaamua kujitoa fahamu anaongea ujinga ujinga mtu hana point hata moja
 
Wenje sasa anataka kuwateka kuwaua kuwabambikia kesi familia ya Lisu popote mlipo Duniani muwe makini na wenje ni mtu hatari kwenu
 
Mantiki kwa mtu zuzu poyoyo juha mpumbavu mbumbu pekee, kwani hakuna asiyejua kuwa familia walikimbia Utekaji mauaji kuwabambikia kesi, hata familia ya chawa Dalali Wenje ipo Canada, mantiki zinasalia kwa wajinga jinga wa ccm pekee
Majina tunayojipa hapa JF yanaakisi ubongo wetu! Pole sana funza
 
Back
Top Bottom