MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Tukikutana nje ya JF uso kwa uso unaweza kuniuliza hivyo?Vipi mmeo Abduli yeye sio mhuni?
Tukikutana nje ya JF uso kwa uso unaweza kuniuliza hivyo?Vipi mmeo Abduli yeye sio mhuni?
Ukileta maneno ya kero laZima tukukereTukikutana nje ya JF uso kwa uso unaweza kuniuliza hivyo?
Nitumie namba yako ili tupange kuonana. Ukishindwa jua wewe ni keyboard warrior ambaye tukikutana LIVE utakimbia.Ukileta maneno ya kero laZima tukukere
Kukutana na wewe ni wewe tu kuamua, muda na sehemu mkuu
Mbona mme wa Rais hatumuoni akizunguka huku na kuleFamilia imemuona ni kipengele siyo
Me Huwa sijifichi we chawaNitumie namba yako ili tupange kuonana. Ukishindwa jua wewe ni keyboard warrior ambaye tukikutana LIVE utakimbia.
Nakungoja keyboard warriorMe Huwa sijifichi we chawa
Nimekutana na member wengi humu
Tulia nitakutafuta mwenyewe hata wewe usijisumbue, we siumetaka kuonana na Mimi Nina uhakika utaniona
Hunijui kumbe lofa weweNakungoja keyboard warrior
Mshana Jr HUJAFANYA HATA TAMBIKO JUU ?? TUIKOMBOE NCHI ???Huyu tumeshampuuza.. Kelele zake hizi ni za muda tuu kabla hajatupwa stoo kama kila msigwa peneza nk
Alipokuwa Mwenyekiti wa kanda alikuwa mwanasiasa mahiri?Leo yupo kwingine ndio umahiri umepotea?Sasa jiulize waliomchagua kwenye Kamati Kuu ya Chadema 1Q zao zilikuwa ndogo kiasi gani?Au ukihama tu 1Q inapungua?Kwa sasa huenda Wenje ndiyo mwanasiasa Fala na mjinga kupita wote Duniani IQ yake ni ndogo kupindukia na pia ni bonge la mshamba sana
Leo umeongea point 😁Wenje nae anaanza ujinga, family visitation to a person in prison is a family matter, it falls under the right to privacy, sio vitu vya kutangazwa in public. Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!
Mabumunda kama haya sijui kwanini CCM inayashobokea!!.
P
Sijui kwa nini huwa hawajifunzi, hutamsikia kabisa muda ukifikaHuyu tumeshampuuza.. Kelele zake hizi ni za muda tuu kabla hajatupwa stoo kama kila msigwa peneza nk
Hata wewe unamushangaa huyu mjaluo,?-'
Mjaluo? Ni mtanzania, kama ulivyo wewe na mimi😎Hata wewe unamushangaa huyu mjaluo,?-'