GE2025 Ezekiel Wenje: Ukiona miezi 3 mwanaume yupo gerezani na mke hajamtembelea, ujue sio kiongozi

GE2025 Ezekiel Wenje: Ukiona miezi 3 mwanaume yupo gerezani na mke hajamtembelea, ujue sio kiongozi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukiona Mwanaume Kila Jambo Unatangulizwa Mbele Kuongea Jua Bas Unatumiwa Kwa Faida Ya Wachache Walioko Nyuma Yako
 
Wenje nae anaanza ujinga, family visitation to a person in prison is a family matter, it falls under the right to privacy, sio vitu vya kutangazwa in public. Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!

Mabumunda kama haya sijui kwanini CCM inayashobokea!!.

P
Unafikiri ni yeye Wenje? Haya huwa ndiyo wanaandikiwa na CCM wakayaseme, ni masharti ya ahadi nono baada ya kuushutumu upinzani. Hata wanavyoongea huwa wanakua wazito, Wenje mkewe naye si yupo Totonto, alirudi lini?

Hii ndiyo tabia ya CCM, walimkodi yule Jamaa aliyemwacha mkewe, Slaa alivyomchukua CCM wakamjaza mapesa yule jamaa akaanza kupayuka. CCM = Axis Of Evil
 
Hizi Bata za Mh. Mbowe hizi aisee !! Kazikimbia sasa hivi zinatangatanga, zingine Chaumma, zingine CCM yaani zinabakwa hovyo hovyo kwa mafungu hazina mwenyewe.
 
Wakuu,

Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar Es Salaam Oktoba 23, 2025 alisema:

Leo nataka niwakere, uongozi unaanza kwenye familia, ukiona baba wa familia yupo gerezani zaidi ya miezi mitatu na mke hajawahi kwenda kumuona wala watoto ujue kuna shida sana hapo, hakuna uongozi. Haiwezekani watoto wawe Marekani washindwe kuja kukuona, hapo hakuna Uongozi.”

View attachment 3492643
Yeye huko canada toka ametoka ameenda lini na yuko huru. Aangalie asije akatumika mpaka tone la mwisho.
Halafu hayo maneno ya shobo wapinzani wanayaweza sana, wakianza kupiga utosini huwa ccm hawachelewi kwenda Tume kwamba wapinzani wana matusi.
 
Hizi ndo ng'ombe ambazo mbowe alikuwa anazifuga, ndo mana tangu kitambo tulimuita ni tapeli Ila wake zake humu akina Erythrocyte walikuwa wanamuona mbowe ni mungu mtu wao
 
Wakivishwaga majoho ya kijani sijui yanawapa nyege gani zinazowapelekea kuropoka ovyo ovyo tu.. ORALRRHEA!!!!
 
Acha kujifanya una uchungu na Lissu kuliko mke wake, mke wake mwenyewe hajawahi kwenda gerezani kumuona we ndo unajidai unampenda sana

Kwani mume wa mama yupo wapi hadi wa simba awe kipengele?
 
Wewe uliyempeleka Abdul kwa Lissu kumhonga unaongea nini? Eti ulitaka uwe makamu mwenyekiti? Wewe ungeliharibu CHADEMA, Kwa taarifa yako Lissu ndiye mpinzani wa kweli....siyo wewe au Mbowe, nyie ni msio na akili mnanulika. Siyo ajabu miezi mitatu kutomuona mwenzi wako. Unashangaa nini? Mandela alikaa miaka 27 jela, maisha ni sacrifice.
Wenje ni Takataka ni kijitu cha hovyo sana ccm wazoa uvundo sasa wamejua kumbe Wenje ni bonge la fala sana
 
Wakuu,

Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar Es Salaam Oktoba 23, 2025 alisema:

Leo nataka niwakere, uongozi unaanza kwenye familia, ukiona baba wa familia yupo gerezani zaidi ya miezi mitatu na mke hajawahi kwenda kumuona wala watoto ujue kuna shida sana hapo, hakuna uongozi. Haiwezekani watoto wawe Marekani washindwe kuja kukuona, hapo hakuna Uongozi.”

View attachment 3492643

Huyu jamaa ni fala kabisa. Aliwapa hoyo nauli ya kuja kumuona....!?

By the way, Lissu hahombei popote sasa anamuingizaje hapa. Kwa nini hahangaiki na Salumu?
 
Wakuu,

Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar Es Salaam Oktoba 23, 2025 alisema:

Leo nataka niwakere, uongozi unaanza kwenye familia, ukiona baba wa familia yupo gerezani zaidi ya miezi mitatu na mke hajawahi kwenda kumuona wala watoto ujue kuna shida sana hapo, hakuna uongozi. Haiwezekani watoto wawe Marekani washindwe kuja kukuona, hapo hakuna Uongozi.”

View attachment 3492643
Mbona na kwenye kampeni tunamuona Jei Kei tu badala ya Mzee Hafidh Ameir?

Kama inamuuma ajigeuze kuwa mke wake, halafu akamuone huko gerezani.
 
Wakuu,

Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar Es Salaam Oktoba 23, 2025 alisema:

Leo nataka niwakere, uongozi unaanza kwenye familia, ukiona baba wa familia yupo gerezani zaidi ya miezi mitatu na mke hajawahi kwenda kumuona wala watoto ujue kuna shida sana hapo, hakuna uongozi. Haiwezekani watoto wawe Marekani washindwe kuja kukuona, hapo hakuna Uongozi.”

View attachment 3492643
Hizo ndiyo sera za wasaliti wa taifa hli
 
Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar es Salaam Oktoba 23, 2025.

“Leo nataka niwakele, uongozi unaanza kwenye familia, ukiona baba wa familia yupo gerezani zaidi ya miezi mitatu na mke hajawahi kwenda kumuona wala watoto ujue kuna shida sana hapo, hakuna uongozi. Haiwezekani watoto wawe Marekani washindwe kuja kukuona, hapo hakuna Uongozi”
 
Wenje nae anaanza ujinga, family visitation to a person in prison is a family matter, it falls under the right to privacy, sio vitu vya kutangazwa in public. Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!

Mabumunda kama haya sijui kwanini CCM inayashobokea!!.

P
Kampeni zetu zinaendeshwa kiswahili, wanatakiwa wajue Wenje hana ushawishi huo tena kwa umma, tena nje ya Chadema wengi hawamfahamu.

Ila pia wanatakiwa wajue kila anayepanda pale anatakiwa kuzungumza nini kwa faida yao.

Sasa ccm wanapata faida gani kwa alichozungumza Wenje.
 
Back
Top Bottom