GE2025 Ezekiel Wenje: Ukiona miezi 3 mwanaume yupo gerezani na mke hajamtembelea, ujue sio kiongozi

GE2025 Ezekiel Wenje: Ukiona miezi 3 mwanaume yupo gerezani na mke hajamtembelea, ujue sio kiongozi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Haya Wenje tumekisikia.....unahangaika na TL ambae hagombei! Tujiulize kwanini asimpige vijembe Salim Mwalim?
 
Mantiki gani alikwambia nani harakati ni mali ya familia? What if watoto wake hawana interest na siasa?
Akili ya kiduazi tu. Unawaza siasa tu. Pamoja na kuwa sababu ya kumweka lupango Tundu ni siasa, haihusiani na mahusiano ya mtu na mtu. Wewe unamuona kama mwanasiasa ila mtoto anamuona kama baba yake, mengine kando. Mtoto awe na interest au asiwe nayo, bado Tundu ni baba yake. Uchungu alio nao mtoto ni tofauti na uchungu ulio nao wewe, kwani baba yako nipo na wewe wakati baba yake yupo lupango
 
Kukaa kimya kuacha kuinangananga chadema na viongozi wake ni bora, unaweza ukaja kurudi tena na ukaeleweka vema kwa kuwa hukuchafua na kubomoa kaya. Wanandoa wapumbavu wakiachana kila mmoja humsema mwenzake vibaya kuwa ana sehemu za siri mbaya zisizokidhi haja na matamanio halafu wanakuja kurudiana tena huku walishachafuana vibaya, ndicho anachofanya poyoyo wenje. Atulize mshono asubiri ukuu wa wilaya huko remote interial vijijini akajilie zake matunda ya nchi kama shukrani. Kwa umri alio nao hapaswi kufanya siasa za kijinga za namna hiyo kwa zama hizi
Hakuna mtu aliyeinanga na kuichafua Chadema Kama Dr. Slaa? Tena Kwa maneno na Kwa maandishi, lakini Karudi na Sasa ni Mjumbe wa Kamati kuu. Mjumbe wa kupambaniwa na aliowachafua🤣🤣 Siasa si hasa😂😂
 
Akili ya kiduazi tu. Unawaza siasa tu. Pamoja na kuwa sababu ya kumweka lupango Tundu ni siasa, haihusiani na mahusiano ya mtu na mtu. Wewe unamuona kama mwanasiasa ila mtoto anamuona kama baba yake, mengine kando. Mtoto awe na interest au asiwe nayo, bado Tundu ni baba yake. Uchungu alio nao mtoto ni tofauti na uchungu ulio nao wewe, kwani baba yako nipo na wewe wakati baba yake yupo lupango
Watoto wake wapo masomoni USA so waache kwenda shule waje kumfrahisha Wenje na mabwege wengine kama wewe?
 
Wewe uliyempeleka Abdul kwa Lissu kumhonga unaongea nini? Eti ulitaka uwe makamu mwenyekiti? Wewe ungeliharibu CHADEMA, Kwa taarifa yako Lissu ndiye mpinzani wa kweli....siyo wewe au Mbowe, nyie ni msio na akili mnanulika. Siyo ajabu miezi mitatu kutomuona mwenzi wako. Unashangaa nini? Mandela alikaa miaka 27 jela, maisha ni sacrifice.
Amekariri huyo
 
Kampeni zetu zinaendeshwa kiswahili, wanatakiwa wajue Wenje hana ushawishi huo tena kwa umma, tena nje ya Chadema wengi hawamfahamu.

Ila pia wanatakiwa wajue kila anayepanda pale anatakiwa kuzungumza nini kwa faida yao.

Sasa ccm wanapata faida gani kwa alichozungumza Wenje.
Nimecheka sana
 
Mantiki gani alikwambia nani harakati ni mali ya familia? What if watoto wake hawana interest na siasa?
Yaani mzazi wako yuko ndani unashindwa kwenda kumwona kwa sababu ya siasa? Na huyo mke je??

Tatizo ni la huyo Lissu kama anashindwa kuongoza familia yake ataweza kuongoza Chama cha Siasa kweli? Ndio maana hata Chadema imeparaganyika!! Eti huyu aongoze nchi!!
 
Haya Wenje tumekisikia.....unahangaika na TL ambae hagombei! Tujiulize kwanini asimpige vijembe Salim Mwalim?
Hujajua Chuki yake imetoka wapi 😂😂 ?
Chuki ni Hasira iliyokomaa.
Kule kulipuliwa na kuanikwa Jamaa alimaindi sana.
 
Back
Top Bottom