F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

Where are CHASAMBI and KARABAKA..?
 
Kibu kachezewa faulo ambayo imemfanya ashindwe kuendelea na mchezo

Then kuna watu wanakuja na madai kuwa huyu ni refa wa Simba, is that real??
 
Simba number 4 inapwaya..bora INONGA arudi ili MALONE arudi nafasi yake..
 
Freddy ameanza kunipa wasiwasi kama simuelewi hivi lakini ngoja niendelee kumuangalia
 
JKT wanafika mara kwa mara kwenye eneo letu sijapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…