OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Chup chup, Ayoub ni kipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba Simba inaua vipaji vya madogo, ina sense. Saido sio wa kumuweka Chasambi nje labda kimataifa kwa vile hana uzoefuWhere are CHASAMBI and KARABAKA..?
3 Malogo ni Kolo kuuHuyu Tatu Mwalogo ndio refa ambaye Yanga wanasema anaibeba Simba?
Hii faulo aliyochezewa Kibu na Saido bila kutoa kadi mbona inapingana na malalamiko ya Uto?
Itakuwa majini
Itakuwa ni yule jini makata kama sio maimunaItakuwa majini
Nani alifanya scouting ya FRED....alitumia vigezo gani?Freddy ameanza kunipa wasiwasi kama simuelewi hivi lakini ngoja niendelee kumuangalia
Hii Simba kusema kweli.... ila muhimu tushinde tu.Mpaka sasa ni kipa Ayoub tu ndio katufichia aibu. Goli 3 za wazi kabisa kapangua
Safi ndio kazi yake hiyoMpaka sasa ni kipa Ayoub tu ndio katufichia aibu. Goli 3 za wazi kabisa kapangua