F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

hayo magoli aliyofunga huyo fredy huko Zambia mmeyaona au na nyie mmeambiwa tu kama mlivyoambiwaga Pablo ni kocha amewahi kuifundisha Madrid?
Yule mtakatifu Joseph kutoka parokiani uliwahi kupata hata fursa ya kujua ana magoli mangapi?
 
Kocha nae mzinguaji tu, Saidoo Bado yumo et
Cha kushukuru JKT wamechezea chance, Hilo tuu
 
Back
Top Bottom