The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Hapa tanzania ukiondoa Arusha na mbeya, kanda ya ziwa nako ni kugumu sana kwa chama cha mapinduzi ni kwa sababu moja tu watu wa huko wamenyooka hawapendi uongo uongo, na ukiwadanganya wanajua kabisa unawapiga kamba kama hawataguna mhiiii basi watakaa kimya au kukuzomea kama ilivyo mbeya na arusha.
Kipindi cha pili cha kikwete 2010 alipata wakati mgumu sana tofauti na mwaka 2005 alipokuwa anaingia maana walikuwa na imanai naye, ili mbidi arudi mara mbili mbili kupiga kampeni. Sasa ni samia tayari kafika kanda ya ziwa na kuanza kunena kwa lugha huelewli anaongea nini wasiwasi umemjaa, hasira na kupanick aha hah a nadhani atmosphere ya huko imechanganya anaomba siku ziishe haraka arudi dar,
Samia kafika kanda ya ziwa kashaanza salamu za kumsifu yesu kristo aha ahaha ha hii ni maajbu kwa kweli sijwahi kumsikia, pia anaongea mambo ya ajabu kuhusu uchumi wetu na ulaya kwa kweli kinachoendelea huko ni vituko, Tuendelee kufuatilia hadi mwisho wa ziara yake nini kitajiri tuzidi kumwelewa raisi huyu, ya jana meatu mmejionea wenyewe alikuwa anakemea mapepo ya mpina.