Hapo ndipo anapokwamaTatizo Bi Mdashi ana mihemko sana, akiguswa kidogo tu anajaa kwenye mfumo na kuanza kubwabwaja.
Inapaswa ajifunze kudhibiti hisia zake. Na inalekea kupanic ni hulka yake, maana hata alipohojiwa na Kikeke kuhusu katiba mpya Bibi alipanic.
Kuhamasisha watu wamfuatilie Raisi wetu mpendwa huko kanda ya.ziwaUlikuwa na sababu gani ya kufungua huu uzi?
😃😃nilijua tu we mamluki huna lolote. Nimekuwekea mtego umenasaWewe tukukana ukijua hata sisi matusi tunayajua, lakini kura za Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 kutoka Kanda ya Ziwa kwa Rais Samia zitavunja rekodi kwa wingi. Wewe utavunja rekodi ya matusi lakini kura huna uwezo wa kuzipunguza mbwa wewe!!
Unaishi Mkoa gani wa kanda ya ziwa mkuu ??Wewe tukukana ukijua hata sisi matusi tunayajua, lakini kura za Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 kutoka Kanda ya Ziwa kwa Rais Samia zitavunja rekodi kwa wingi. Wewe utavunja rekodi ya matusi lakini kura huna uwezo wa kuzipunguza mbwa wewe!!
Kanda ya ziwa yote ukitoa Kagera hawaamini katika kuongozwa na mwanamke!Huku kuna kabila haliamini kabisa mwanamke kuwa kiongozi. Hata wanawake wenzake pia wanamuona hafai.
Ndiyo maana kuna gari zinasomba watu kutoka mikoa ya karibu. Ili tu aonekane amejaza watu.
Watu hawana mda naye kabisaa
Unataka kuja kunitembelea? Naishi Jijini, Mwanza, Kata ya Mkolani, Mtaa wa Majengo Mapya. Karibu sana!Unaishi Mkoa gani wa kanda ya ziwa mkuu ??
Itafuatia MwamposazationGwajimanization na Mpinazation
Mbona kama ni Lucas Mwashambwa huyo 😁😁Chawa wako kazini muda wote kumpamba huku na kule kwa kila uongo wa namna zote na watafika hapa muda sio mrefu, na wana hasira sana kwa sababu wanaonekana hawafanyi kazi yao vizuri 💩💩💩View attachment 3374282
Ameshasahau "Kazi iendelee"Samia kafika kanda ya ziwa kashaanza salamu za kumsifu yesu kristo aha ahaha ha hii ni maajbu kwa kweli sijwahi kumsikia, pia anaongea mambo ya ajabu kuhusu uchumi wetu na ulaya kwa kweli kinachoendelea huko ni vituko,
GT
Hapa tanzania ukiondoa Arusha na mbeya, kanda ya ziwa nako ni kugumu sana kwa chama cha mapinduzi ni kwa sababu moja tu watu wa huko wamenyooka hawapendi uongo uongo, na ukiwadanganya wanajua kabisa unawapiga kamba kama hawataguna mhiiii basi watakaa kimya au kukuzomea kama ilivyo mbeya na arusha.
Kipindi cha pili cha kikwete 2010 alipata wakati mgumu sana tofauti na mwaka 2005 alipokuwa anaingia maana walikuwa na imanai naye, ili mbidi arudi mara mbili mbili kupiga kampeni. Sasa ni samia tayari kafika kanda ya ziwa na kuanza kunena kwa lugha huelewli anaongea nini wasiwasi umemjaa, hasira na kupanick aha hah a nadhani atmosphere ya huko imechanganya anaomba siku ziishe haraka arudi dar,
Samia kafika kanda ya ziwa kashaanza salamu za kumsifu yesu kristo aha ahaha ha hii ni maajbu kwa kweli sijwahi kumsikia, pia anaongea mambo ya ajabu kuhusu uchumi wetu na ulaya kwa kweli kinachoendelea huko ni vituko, Tuendelee kufuatilia hadi mwisho wa ziara yake nini kitajiri tuzidi kumwelewa raisi huyu, ya jana meatu mmejionea wenyewe alikuwa anakemea mapepo ya mpina.
Na NdugainizationGwajimanization na Mpinazation
😄Chawa wako kazini muda wote kumpamba huku na kule kwa kila uongo wa namna zote na watafika hapa muda sio mrefu, na wana hasira sana kwa sababu wanaonekana hawafanyi kazi yao vizuri 💩💩💩View attachment 3374282
Huyu hapo ni Lucas MwashambwaChawa wako kazini muda wote kumpamba huku na kule kwa kila uongo wa namna zote na watafika hapa muda sio mrefu, na wana hasira sana kwa sababu wanaonekana hawafanyi kazi yao vizuri 💩💩💩View attachment 3374282
kuna nini cha maana mrangi?🐒
Naomba utuweke clip mtu alivyokuwa gwajimanizeGT
Hapa tanzania ukiondoa Arusha na mbeya, kanda ya ziwa nako ni kugumu sana kwa chama cha mapinduzi ni kwa sababu moja tu watu wa huko wamenyooka hawapendi uongo uongo, na ukiwadanganya wanajua kabisa unawapiga kamba kama hawataguna mhiiii basi watakaa kimya au kukuzomea kama ilivyo mbeya na arusha.
Kipindi cha pili cha kikwete 2010 alipata wakati mgumu sana tofauti na mwaka 2005 alipokuwa anaingia maana walikuwa na imanai naye, ili mbidi arudi mara mbili mbili kupiga kampeni. Sasa ni samia tayari kafika kanda ya ziwa na kuanza kunena kwa lugha huelewli anaongea nini wasiwasi umemjaa, hasira na kupanick aha hah a nadhani atmosphere ya huko imechanganya anaomba siku ziishe haraka arudi dar,
Samia kafika kanda ya ziwa kashaanza salamu za kumsifu yesu kristo aha ahaha ha hii ni maajbu kwa kweli sijwahi kumsikia, pia anaongea mambo ya ajabu kuhusu uchumi wetu na ulaya kwa kweli kinachoendelea huko ni vituko, Tuendelee kufuatilia hadi mwisho wa ziara yake nini kitajiri tuzidi kumwelewa raisi huyu, ya jana meatu mmejionea wenyewe alikuwa anakemea mapepo ya mpina.
Naona uko Simiyukuna nini cha maana mrangi?🐒
nilijibu jana hii swali gentleman 🐒Naona uko Simiyu
Naona mambo bam bam
Ova