Faatilieni ziara ya Raisi Samia huko kanda ya ziwa kashaanza kunena kwa lugha.

Faatilieni ziara ya Raisi Samia huko kanda ya ziwa kashaanza kunena kwa lugha.

Wewe tukukana ukijua hata sisi matusi tunayajua, lakini kura za Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 kutoka Kanda ya Ziwa kwa Rais Samia zitavunja rekodi kwa wingi. Wewe utavunja rekodi ya matusi lakini kura huna uwezo wa kuzipunguza mbwa wewe!!
Kwani hata wakitaja kura Za uongo nani wakuwabishia.
 
Mpina na gwajima ndio miamba ya Kanda ya ziwa na washawaapizia wasirudi kwa sababu wanapinga utekaji unategemea nini sasa
 
GT
Hapa tanzania ukiondoa Arusha na mbeya, kanda ya ziwa nako ni kugumu sana kwa chama cha mapinduzi ni kwa sababu moja tu watu wa huko wamenyooka hawapendi uongo uongo, na ukiwadanganya wanajua kabisa unawapiga kamba kama hawataguna mhiiii basi watakaa kimya au kukuzomea kama ilivyo mbeya na arusha.

Kipindi cha pili cha kikwete 2010 alipata wakati mgumu sana tofauti na mwaka 2005 alipokuwa anaingia maana walikuwa na imanai naye, ili mbidi arudi mara mbili mbili kupiga kampeni. Sasa ni samia tayari kafika kanda ya ziwa na kuanza kunena kwa lugha huelewli anaongea nini wasiwasi umemjaa, hasira na kupanick aha hah a nadhani atmosphere ya huko imechanganya anaomba siku ziishe haraka arudi dar,

Samia kafika kanda ya ziwa kashaanza salamu za kumsifu yesu kristo aha ahaha ha hii ni maajbu kwa kweli sijwahi kumsikia, pia anaongea mambo ya ajabu kuhusu uchumi wetu na ulaya kwa kweli kinachoendelea huko ni vituko, Tuendelee kufuatilia hadi mwisho wa ziara yake nini kitajiri tuzidi kumwelewa raisi huyu, ya jana meatu mmejionea wenyewe alikuwa anakemea mapepo ya mpina.
Baada ya ulaghai wote ule wa miaka minne, sasa anategemea kufuta kila kitu na kuanza upya?

WaTanzania ni muhimu waelewe kwamba huyu mwanamke akiendelea na miaka mitano ijayo, nchi hii itakuwa katika hali mbovu sana
Huyu atafanya mambo ambayo watu wasingetegemea yatafanywa na kiongozi wa nchi. Huyu hana uchungu wowote na hali za waTanzania; hazimgusi kabisa, hata anapoigiza kuguswa utaona wazi kuwa hana chochote kinachomuumiza moyoni kwa hali duni za wananchi.

Huyu ni kiongozi wa maslahi tu, wa makundi anayo yapigania mwenyewe.
Huyu siyo kiongozi wa wananchi; ni mtawala tu.
 
Shida sio yeye kupata ugumu au wepesi.Mfumo wa maisha yetu ndio unatusaliti.Ushindi kwake ni jambo jepesi ata asingefika kanda ya ziwa ndio maana hii kampeni ya CHADEMA naona ina mashiko.Bongo huwa hatufanyi uchaguzi bali mfumo unachagua basi tu
Watu wameng'ang'ania "uchaguzi, uchaguzi", kana kwamba uchaguzi huo una maana!
Hata sielewi kwa nini watu wenye akili nzuri tu na wao wanaimba wimbo batili kabisa!

Hivi kuna mtu kweli anasubiri uchaguzi wa Oktoba kuwa una lengo la kuwapata viongozi wa nchi hii?
 
Una uhakika umeandika inachoelewa au umeandika ili uonekane nawe una uwezo wa kumsema vibaya Rais? Kwa taarifa yako, sisi watu wa Kanda ya Ziwa tutampa kura nyingi sana Rais Samia!
Ona hii kondoo ya sadaka inavyohorojoka, Kama akili huna macho nayo hayaoni? Rais na Wazir wake wanaongea Wananchi kimya..Mbunge wanayemsema vibaya amesimama wananchi wanamshangilia, Sasa ona mwenyewe nyinyi kondoo wachache machawa tunajua mpo na hamtaisha kwa kipindi hiki kwakuwa maisha yenu hayaendi bila kujikomba
 
Ona hii kondoo ya sadaka inavyohorojoka, Kama akili huna macho nayo hayaoni? Rais na Wazir wake wanaongea Wananchi kimya..Mbunge wanayemsema vibaya amesimama wananchi wanamshangilia, Sasa ona mwenyewe nyinyi kondoo wachache machawa tunajua mpo na hamtaisha kwa kipindi hiki kwakuwa maisha yenu hayaendi bila kujikomba
Kama huyo Mbunge anapendwa aende Chadema au ACT WAZALENDO au CHAUMA. Kwanini bado yupo CCM? PUMBAVU!!
 
Back
Top Bottom