The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Gwajimanization na MpinazationGT
Hapa tanzania ukiondoa Arusha na mbeya, kanda ya ziwa nako ni kugumu sana kwa chama cha mapinduzi ni kwa sababu moja tu watu wa huko wamenyooka hawapendi uongo uongo, na ukiwadanganya wanajua kabisa unawapiga kamba kama hawataguna mhiiii basi watakaa kimya au kukuzomea kama ilivyo mbeya na arusha.
Kipindi cha pili cha kikwete 2010 alipata wakati mgumu sana tofauti na mwaka 2005 alipokuwa anaingia maana walikuwa na imanai naye, ili mbidi arudi mara mbili mbili kupiga kampeni. Sasa ni samia tayari kafika kanda ya ziwa na kuanza kunena kwa lugha huelewli anaongea nini wasiwasi umemjaa, hasira na kupanick aha hah a nadhani atmosphere ya huko imechanganya anaomba siku ziishe haraka arudi dar,
Samia kafika kanda ya ziwa kashaanza salamu za kumsifu yesu kristo aha ahaha ha hii ni maajbu kwa kweli sijwahi kumsikia, pia anaongea mambo ya ajabu kuhusu uchumi wetu na ulaya kwa kweli kinachoendelea huko ni vituko, Tuendelee kufuatilia hadi mwisho wa ziara yake nini kitajiri tuzidi kumwelewa raisi huyu, ya jana meatu mmejionea wenyewe alikuwa anakemea mapepo ya mpina.
🙂🙂🙂Mwamposa anamsaidia kunena kwa Lugha ,pia mwambie Gwaji boy msukuma yuko kwenye mfungo na maombi .Usikute Mama upako umempata hee
Kanda ya ziwa wanaamini Dkt Samia alimuua Dkt Magufuli ili awe Rais. Vijembe vyake ndiyo vilipelekea wana kanda ya ziwa waamini! Mtu pekee anayeweza kumsafisha kanda ya Ziwa ni Paul Makonda! Dotto Biteko hawezi.GT
Hapa tanzania ukiondoa Arusha na mbeya, kanda ya ziwa nako ni kugumu sana kwa chama cha mapinduzi ni kwa sababu moja tu watu wa huko wamenyooka hawapendi uongo uongo, na ukiwadanganya wanajua kabisa unawapiga kamba kama hawataguna mhiiii basi watakaa kimya au kukuzomea kama ilivyo mbeya na arusha.
Kipindi cha pili cha kikwete 2010 alipata wakati mgumu sana tofauti na mwaka 2005 alipokuwa anaingia maana walikuwa na imanai naye, ili mbidi arudi mara mbili mbili kupiga kampeni. Sasa ni samia tayari kafika kanda ya ziwa na kuanza kunena kwa lugha huelewli anaongea nini wasiwasi umemjaa, hasira na kupanick aha hah a nadhani atmosphere ya huko imechanganya anaomba siku ziishe haraka arudi dar,
Samia kafika kanda ya ziwa kashaanza salamu za kumsifu yesu kristo aha ahaha ha hii ni maajbu kwa kweli sijwahi kumsikia, pia anaongea mambo ya ajabu kuhusu uchumi wetu na ulaya kwa kweli kinachoendelea huko ni vituko, Tuendelee kufuatilia hadi mwisho wa ziara yake nini kitajiri tuzidi kumwelewa raisi huyu, ya jana meatu mmejionea wenyewe alikuwa anakemea mapepo ya mpina.
Ohoo!Gwajimanization na Mpinazation
Hatoshi nafasi ya urais.GT

AiseeKanda ya ziwa wanaamini Dkt Samia alimuua Dkt Magufuli ili awe Rais. Vijembe vyake ndiyo vilipelekea wana kanda ya ziwa waamini! Mtu pekee anayeweza kumsafisha kanda ya Ziwa ni Paul Makonda! Dotto Biteko hawezi.
Una uhakika umeandika inachoelewa au umeandika ili uonekane nawe una uwezo wa kumsema vibaya Rais? Kwa taarifa yako, sisi watu wa Kanda ya Ziwa tutampa kura nyingi sana Rais Samia!GT
Hapa tanzania ukiondoa Arusha na mbeya, kanda ya ziwa nako ni kugumu sana kwa chama cha mapinduzi ni kwa sababu moja tu watu wa huko wamenyooka hawapendi uongo uongo, na ukiwadanganya wanajua kabisa unawapiga kamba kama hawataguna mhiiii basi watakaa kimya au kukuzomea kama ilivyo mbeya na arusha.
Kipindi cha pili cha kikwete 2010 alipata wakati mgumu sana tofauti na mwaka 2005 alipokuwa anaingia maana walikuwa na imanai naye, ili mbidi arudi mara mbili mbili kupiga kampeni. Sasa ni samia tayari kafika kanda ya ziwa na kuanza kunena kwa lugha huelewli anaongea nini wasiwasi umemjaa, hasira na kupanick aha hah a nadhani atmosphere ya huko imechanganya anaomba siku ziishe haraka arudi dar,
Samia kafika kanda ya ziwa kashaanza salamu za kumsifu yesu kristo aha ahaha ha hii ni maajbu kwa kweli sijwahi kumsikia, pia anaongea mambo ya ajabu kuhusu uchumi wetu na ulaya kwa kweli kinachoendelea huko ni vituko, Tuendelee kufuatilia hadi mwisho wa ziara yake nini kitajiri tuzidi kumwelewa raisi huyu, ya jana meatu mmejionea wenyewe alikuwa anakemea mapepo ya mpina.
Hicho kichwa cha jamaa kama kiazi au ramani ya AfricaChawa wako kazini muda wote kumpamba huku na kule kwa kila uongo wa namna zote na watafika hapa muda sio mrefu, na wana hasira sana kwa sababu wanaonekana hawafanyi kazi yao vizuri 💩💩💩View attachment 3374282
Wewe utakuwa.jogoli. jibu huu ujumbe uabikeUna uhakika umeandika inachoelewa au umeandika ili uonekane nawe una uwezo wa kumsema vibaya Rais? Kwa taarifa yako, sisi watu wa Kanda ya Ziwa tutampa kura nyingi sana Rais Samia!
This is obviousHuku kuna kabila haliamini kabisa mwanamke kuwa kiongozi. Hata wanawake wenzake pia wanamuona hafai.
Ndiyo maana kuna gari zinasomba watu kutoka mikoa ya karibu. Ili tu aonekane amejaza watu.
Watu hawana mda naye kabisaa
Wewe tukukana ukijua hata sisi matusi tunayajua, lakini kura za Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 kutoka Kanda ya Ziwa kwa Rais Samia zitavunja rekodi kwa wingi. Wewe utavunja rekodi ya matusi lakini kura huna uwezo wa kuzipunguza mbwa wewe!!Wewe utakuwa.jogoli. jibu huu ujumbe uabike
Ulikuwa na sababu gani ya kufungua huu uzi?GT