Faatilieni ziara ya Raisi Samia huko kanda ya ziwa kashaanza kunena kwa lugha.

Tatizo Bi Mdashi ana mihemko sana, akiguswa kidogo tu anajaa kwenye mfumo na kuanza kubwabwaja.

Inapaswa ajifunze kudhibiti hisia zake. Na inalekea kupanic ni hulka yake, maana hata alipohojiwa na Kikeke kuhusu katiba mpya Bibi alipanic.
Hapo ndipo anapokwama
 
Wewe tukukana ukijua hata sisi matusi tunayajua, lakini kura za Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 kutoka Kanda ya Ziwa kwa Rais Samia zitavunja rekodi kwa wingi. Wewe utavunja rekodi ya matusi lakini kura huna uwezo wa kuzipunguza mbwa wewe!!
πŸ˜ƒπŸ˜ƒnilijua tu we mamluki huna lolote. Nimekuwekea mtego umenasa
 
Wewe tukukana ukijua hata sisi matusi tunayajua, lakini kura za Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 kutoka Kanda ya Ziwa kwa Rais Samia zitavunja rekodi kwa wingi. Wewe utavunja rekodi ya matusi lakini kura huna uwezo wa kuzipunguza mbwa wewe!!
Unaishi Mkoa gani wa kanda ya ziwa mkuu ??
 
Huku kuna kabila haliamini kabisa mwanamke kuwa kiongozi. Hata wanawake wenzake pia wanamuona hafai.

Ndiyo maana kuna gari zinasomba watu kutoka mikoa ya karibu. Ili tu aonekane amejaza watu.

Watu hawana mda naye kabisaa
Kanda ya ziwa yote ukitoa Kagera hawaamini katika kuongozwa na mwanamke!
 
Samia kafika kanda ya ziwa kashaanza salamu za kumsifu yesu kristo aha ahaha ha hii ni maajbu kwa kweli sijwahi kumsikia, pia anaongea mambo ya ajabu kuhusu uchumi wetu na ulaya kwa kweli kinachoendelea huko ni vituko,
Ameshasahau "Kazi iendelee"
 
Your browser is not able to display this video.


Hawajamsikia?
 
Nimesikia tetesi kuwa kuna watu walikuwa wanasombwa kwenda mkutanoni wamepata ajali mbaya Kisesa
 
Naomba utuweke clip mtu alivyokuwa gwajimanize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…