Faatilieni ziara ya Raisi Samia huko kanda ya ziwa kashaanza kunena kwa lugha.

Wewe tukukana ukijua hata sisi matusi tunayajua, lakini kura za Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 kutoka Kanda ya Ziwa kwa Rais Samia zitavunja rekodi kwa wingi. Wewe utavunja rekodi ya matusi lakini kura huna uwezo wa kuzipunguza mbwa wewe!!
Wewe ni chawa wa hovyo sana na una mapepo machafu sana!
 
 
Fafanua Mkuu.
Comrade Biteko uwezo wake kushawishi watu ni mdogo ukilinganisha na Makonda. Makonda ana uwezo wa kugeuza jambo baya na kuwa zuri yaani ana hicho kipaji kama alivyokuwa Dkt Magufuli. Fikiria Arusha now anavyopendwa.
 
Dkt Samiaaaa mitano tenaaaaaaa.
Octoba 2025 tunatiki✔️✔️✔️
 
Sjamuelewa mama haha mimi 😆 kapanic saana
 
Bora kampeni zake za kipuuzi zielekee mikoa ya wapuuzi wa mudi boy maana wao kwao upumbavu ndiyo akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…