Face to Face with Zitto Kabwe: Kuhusu Kupika Data, "Namheshimu Sana Rais Magufuli ila Sio Mkweli!. Uchumi Umesinyaa!.

Aibu tupu! Mambo ya kuabudu Almighty Whitey kwa jinsi hao Waswahili na Wazungu wanavyojivinjari kwenye hiyo video. Kwanini Zitto ilibidi aende London ku-consult na Wazungu wa Labour Party kuh validity za claims zake kabla ya ile press conference yake ya jana? Tanzania nzima hakuna Wasomi wa uchumi ambao wangeweza kumshauri? Huyu mtu ni so arrogant and always ego-driven na anajiona yeye ni smartest man around in every room he steps in and out 1000 square miles radius. Jerry Muro may have been right: hii ishu ni Zitto pekee yake anataka credit na hakuna cha kamati kuu ya ACT wala nini walioshauri au ku-endorse.
 
Acha kuongea pumba
 
Mark my words:

BoT, TRA, National Statistics na CAG sasa hivi watakatazwa kupublish tena data kwa jamii. Vyote vitakuwa vinaishia kwenye makabati.

Hizi data zinaleta uchochezi na kuharibu usalama wa nchi.

Zitto anatumia kamba zao kuwanyongea.
haiwasaidii kwani lazima wazipeleke washington IMF, na WB. tutazifuata hukohuko. sizonje hana akili kabisa
 

Huwezi kufananisha raisi na baba mzazi

Wewe utakuwa hauko sawa upstairs au una nidhamu ya uoga
 
nyie maccm mnacheza na akili kubwa mwisho wenu unakaribia
 
Umesoma hii?
Je umemsikliliza Zitto kwa makini alipotoa uchambuzi wake? Link
Zitto Kabwe: Takwimu za Pato la Taifa kwa robo iliyoishia Juni 2017 si sahihi, ZIMEPIKWA! (PDF attached)
Kama utamsikiliza anaeleza vipi kanuni za uchumi zinagundua kwamba Takwimu za TRA zimepikwa. Takwimu za kuongezeka kwa mapato.

Sisi tunasubiri wa-serikali wajitokeze na facts kuupinga uchambuzi wa Zitto. Au wathibitishe kama "waliteleza ulimi".

Mayala oyeee. Mayala kwa kisukuma maana yake ......... Kama hujui muulize Baba J.
 
Mimi sina baba wa dizaini ya masolex kumbafuuu nitoe kwa hiyo list yako!

Baba asiyeambilika wa kazi Gani?? Piga shaba ya kichwa kazi iisheee!
 
Nisalimie watu za kijijini kwenu.
Ukiacha hili dai la "anatafuta au anataka credit" una maoni gani juu ya uchambuzi wa hali ya uchumi alioufanya Zitto?

Je unakubaliana naye kwamba TRA wamepika data ili kumfurahisha dereva wa lori la mwendokasi ili aweze kusikia yale anayoyapenda?
Unaionaje rai ya Zitto ya kumshauri Rais aitishe ukaguzi wa mkaguzi Mkuu wa mahesabu ahakiki hesabu za makusanyo ya mapato zilizotolewa na TRA zihusuzo April, May, June mpaka Oktoba?

Umeacha hoja ya Zitto, unamjadili mtoa hoja, Zitto.

Vipi Bandugu yangu!? Nimeona kwenye post yako hii (mchango wako) umepachika hapa na pale lugha ya wazungu na wewe unamuiga Zitto?
 
Nonda, mzee mzima bado upo weye? Huyu Zitto, ni suala la credibility. Ni muhimu aeleze kwanini ilibidi aende London kutafuta ushauri na uhakiki wa hoja zake wakati wataalamu wa uchumi wapo tele Tanzania? Kwa mtazamo wangu, hizo formula, graph na tafsiri alizotoa haihitaji Zitto na Wazungu wake. Culture ya Watanzania na waafrika kwa ujumla, haiangalii sana mantiki ya hoja zako tu, japo ni muimu sana, lakini pia namna gani umeziwasilisha hoja hizo na ushawishi gani upo nyuma yake.
 
 
Hilo swali ni la kama mama mzee kule kijijini. Halina weledi wowote. Unategemea majibu ww Mayala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…