Alikuwa akifanya kazi ya uajenti wa waagiza chakula nje ili awasaidie serikali iondoe kodi kwenye vyakula vya kutoka nje ya nchi kwani kuna crisis ya njaa.wakishaleta hawauzi wanafungia kwenye maghala ili waje wauze kwa bei ya kuruka.Kama hilo lingefanikiwa wafanyabiashara mafisadi wangejaza mipesa account zote za Zito kabwe kama asante kwa kazi nzuri.Ile ilikuwa gia ya kuwinda rushwaSiku mkikutana tena na Zitto, usisahau kumuuliza njaa aliyotwaminisha kuwa ipo, mbona hadi leo hajawahi kufa mtu na hiyo njaa aliyo twaminisha, na xile takwima za kwamba maghala hayana chakula wakati chakula kilikuwemo kwenye maghala alizipika au hakuzipika?
Jina la kampuni ya Zitto ya uajenti wa waagiza vyakula linaitwaje ndugu...?Alikuwa akifanya kazi ya uajenti wa waagiza chakula nje ili awasaidie serikali iondoe kodi kwenye vyakula vya kutoka nje ya nchi kwani kuna crisis ya njaa.wakishaleta hawauzi wanafungia kwenye maghala ili waje wauze kwa bei ya kuruka.Kama hilo lingefanikiwa wafanyabiashara mafisadi wangejaza mipesa account zote za Zito kabwe kama asante kwa kazi nzuri.Ile ilikuwa gia ya kuwinda rushwa
Agent wa kutumia cheo chake bungeni alikuwa agent as individual sio maajenti au madalali wrote wana kampuni wawe wa viwanja au magari .Maajenti wa mafisadi ndio kabisa hawana kampuni.Wao hujiibukia Kama vinara wakitumia nafasi zao za kisiasa kukuwadia mafisadi kwa hoja wakijifanya watetezi lakini lengo kupiga pesa.Alikuwa akiwinda rushwa Kama individual kwa niaba ya mafisadi food importers and company limitedJina la kampuni ya Zitto ya uajenti wa waagiza vyakula linaitwaje ndugu...?
Waziri wa Fedha hawezi kuongea bila kupewa kibali na huyo ndugu yake pale Magogoni..Nachoshangaa hakuna kiongozi wa serekali ameliongelea suala na kulipa ufafanuzi zaidi ya kile alichokisema rais,lakini zitto kwa upande wake amewza kulielezea vizuri tukaelewa. Viongozi wa serekali mpo wapi kuelezea mambo haya msimuache raisi aeleze kila kitu!!..
Zitto ktk Bunge hili la CCM ana ushawishi mkubwa hivyo kweli wa kushawishi wabunge maprofeseri wa CCM kupitisha hoja za yeye kupiga DILI za rushwa peke yake..?!Agent wa kutumia cheo chake bungeni alikuwa agent as individual sio maajenti au madalali wrote wana kampuni wawe wa viwanja au magari .Maajenti wa mafisadi ndio kabisa hawana kampuni.Wao hujiibukia Kama vinara wakitumia nafasi zao za kisiasa kukuwadia mafisadi kwa hoja wakijifanya watetezi lakini lengo kupiga pesa.Alikuwa akiwinda rushwa Kama individual kwa niaba ya mafisadi food importers and company limited
Hizi zako ni blah blah ulizotumwa ili ujipatie UJIRA wako bw "kiharusi"zito bwana; ukimsikiliza utagundua kuwa hana takwimu kinzani ili kubackup argument yake kwamba takwimu zilizopo zimepikwa. Alichonacho ni hisia tu zinazotokana na kile anachokiita tafsiri ya takwimu zilizopo. Tafsiri inayoweza kuwa potofu.
Sio afya sana kisiasa kuja public kwa msukumo wa hisia tu, unahitajika kuwa na ushahidi kwani tuhuma anazotoa yeye zinahitaji ushahidi.
Bila kuwa na takwimu kinzani hoja yake inakosa Mashiko.
Mkuu data za ukweli wanazo ila hawazipendi maana figures ni za chini na ndio zina akisi hali halisi ya maisha ya Mtanzania..kinachonishangaza Ni wale wanaojaribu kumjibu zitto kwa kumshambulia yeye binafsi badala ya kumwaga data za ukweli!!
Kumitisha mtu hakusaidii ila kumjibu kwa facts tu ndio dawa pekee ila bahati mbaya kuanzia rais mpaka waajiriwa hawana data za kutosha!
hNilitegemea kuona majibu ya Taarifa ya Uchumi ya Kamati kuu ya ACT-wazalendo yakijibiwa na wataalamu wa masuala ya Uchumi kwa hoja.
Ila mgombea nafasi ya mpambe amejitokeza na kubwajabwaja maneno hayaendani na hoja.
Kumbe Ugonjwa wa zittoism sio kwa mkuu tu mpaka wapambe nuksi wa wapambe.
Mara zote, watu wasioweza kupambana kwa HOJA ktk maisha.., hutumia NGUVU na hata SMG ktk kukwepa ama kuzima KABISA hoja ama waleta hoja...!HUYU KIJANA ANAJITAFTIA MAJANGA
Modes hawataki ulete nyuzi za UONGO huku JF kwa ma GT.. [emoji23]Cjui kwann modes ukileta uzi wa kuisifia serikali wanaufutilia mbali haraka sana
Tatizo huyo Mzee mwenyewe anapenda kubeba hizo taka. Hapo ndio shida inapoanzia.Inategemea huyo Baba yako amekuzoesha kumdanganya kwa kiwango gani! Kumbuka sio yeye aliezitengeza hizo Takwimu! Bali kapewa na wajanja wanaojua ni kitu gani anapenda kukisikia! Sitarajii Mzee kama akibebeshwa taka tutaacha kumwambia kwa vile ni baba! Huo utakuwa unafiki wa kufa MTU!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Modes hawataki ulete nyuzi za UONGO huku JF kwa ma GT.. [emoji23]
Nyuzi hizo pelekeni FB...
Mark my words:
BoT, TRA, National Statistics na CAG sasa hivi watakatazwa kupublish tena data kwa jamii. Vyote vitakuwa vinaishia kwenye makabati.
Hizi data zinaleta uchochezi na kuharibu usalama wa nchi.
Zitto anatumia kamba zao kuwanyongea.
nami nimeogopa laweza kutokea kwa nchi yetu eti!!
Ameen amiin mungu akuzidishie kheri na kukufanyia wepesi wewe na sisi sote especially kipindi hiki chenye watu wanaopenda tuishi kama mashetani while they know hawana uwezo wakumpa mtu riziki wala kumnyang'anya sema wapo wapo tu ili waongeze mitihani kwa binadamu".Mungu akuzidishie kila lenye kheri na maisha marefu mkuu
Ni kwamba nyufa zote ambazo zinavujisha ukisoaji Serikali zinazibwa haraka sana, tunaona kwenye Magazeti, Mitandao, mikutano ya siasa etc.
Sasa ikonekana kama utoaji wa data kila mwezi nao unachangia kwenye uchochezi then why not.
Ikiminywa hiyo ina maana next time Mh Zitto hatapata tena Data za kuikosoa Serikali.