Face to Face with Zitto Kabwe: Kuhusu Kupika Data, "Namheshimu Sana Rais Magufuli ila Sio Mkweli!. Uchumi Umesinyaa!.

Mwisho wa kuziba ziba vyanzo vya taarifa na data utakua nini...?!

Fikiria hivii.., kinazuka KIPINDUPINDU hapo manzese.., halafu wenye kudhibiti taarifa wanafanya yao kwa kudhibiti aibu.., nini kitatokea...?!
 
Tushindane kwa hoja, bunduki/SMG za Nini??
Nani Kaitaja SMG? Tukumbuke kwamba lolote mtu unalofanya, mwisho wa siku utasimama wewe peke yako na familia yako - kutafta misifa ya public hakutakusaidia. Mie ngoja nifanye yangu na kusomesha wanangu
 
Nani Kaitaja SMG? Tukumbuke kwamba lolote mtu unalofanya, mwisho wa siku utasimama wewe peke yako na familia yako - kutafta misifa ya public hakutakusaidia. Mie ngoja nifanye yangu na kusomesha wanangu
Jisome vizuri katikati ya mistari kwenye comment yako ya mwanzo utaiona SMG!
 
Kisha alete mrejesho.
 
Hizi zako ni blah blah ulizotumwa ili ujipatie UJIRA wako bw "kiharusi"

Kujibu hoja ya Zitto waachie wakubwa zako, Waziri wa Fedha au Gavana wa BOT...
sasa unafikiri huo ugoro aliozungumza zito kuna mtu atajisumbua kumjibu? ? Akijibiwa nipo hapa niite tu nitakuja.
 

Hujajibu swali la Zitto hata moja. In fact, you just wasted our time. Wole Soyinka akasema kuwajibu negritude theorists kama wewe: "A tiger does not proclaim its tigritude; it pounces". It helps none proclaiming your blackness. Just pounce so that we can see how black you are.
 
KUDOS Pascal Mayalla kwa kumuuliza ZZK maswali makini.
 
Labda kama ni mzazi wako
Inategemea na umri wako, achilia mbali Mh. Rais lakini hata mie naweza kuwa babako. Kumbuka Hukuwa na mchango wowote kwa mama yako kuzalishwa/kuolewa na huyo unayemwita babako kwa sasa. Na kwa kweli kwa ulichoandika hapa inaonesha bado uko kinda kwa umri na akili pia. Unamkosea heshima mamako kwa kushindwa kuwa na adabu kwa wababa wenye umri sawa ama kumzidi mama yako.
 
Wewe ni pumbafu kabisa unajua mimi nina umri gani?au unaongozwa na akili za ukilaza?ngedere wewe
 
Watu eti wanataka zichapishwe zikiwa Raw hivyo bila kuhakikiwa Na vyombo vya habari kuhusu credibility ya hizo takwimu mbadala koko za zitto.Vyombo vya habari ni weledi
Sio kila kitu kinahitaji kutumia akili kubwa,unateua gavana leo keshokutwa data zinasema uchumi unapaa,kuna shida na cku zote uwongo hauwezi kua ukweli uchumi unaporomoka
 
Ebu nenda kona bar ukatafute kula yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…