Face to Face with Zitto Kabwe: Kuhusu Kupika Data, "Namheshimu Sana Rais Magufuli ila Sio Mkweli!. Uchumi Umesinyaa!.

Umeandika pumba wewe kindururu
 
Mayala ni ant Magufuli,hoja zaje zote ukizitazama kifalsafa zinampinga Magufuli.

Anachokifanya ni kumpinga kwa njia ya kumsifia ili azidi kuharibu zaidi.

Wenye uelewa finyu hawajawahi kumuelewa Mayalla lkn jamaa ni hatari na wao wanajua.

Hayo mahojiano ni kuwa Mayalla alikusudia kumpa airtime Zitto ili ampige nyika kichwani.

Mfuatilieni mtamuelewa.
 
Hahaha mkuu umeiangalia uzuri hii video na kusikiliza aliyoyaeleza Mh Zitto,Nikukumbushe tu Zitto amesema hizo twakimu zote kazitoa kwenye tovuti za serikali ikiwemo ya BOT na taasisi nyengine za serikali sasa wataalamu wa ACT waingilie nini tena hapo....,Watanzania tumechoka ba siasa za kudanganywa hazina tija na sisi 😀
 
Wewe furaha yako atajwe Mbowe mara hv mara vile?
Yaan wanaona ndio kama MUNGU MTU WAP akat mbowe mwenyew kwa zitto ana anya hamuwez ukweli kuna watu wengine wana mahaba na chuki zao za binafsi tu wanajua wao et aaaa yaan mpka mnaboaga watu eti
 
Sijaelewa hoja yako hii inahusiana vp na nilichoandika na kwahiyo nimeshindwa hata jinsi ya kujibu!!
 
Your man has a whole lotta 'splainin to do, dude. Why London and Whitey? As far as 'tigritude" and negritude" as your bookish illustration is concerned, he may as well explain the "Wazalendo" part in ACT-Wazalendo.
 

Kwa kukusahihisha tu Shemeji yangu,RAIS siyo BABA na hawezi kuwa BABA.Rais ni mtumishi wetu anatakiwa atusikilize tuliomwajiri.

Sisi watanzania ndiyo tunayempa ULAJI na si yeye anayetupa ULAJI.Kama anasema uongo ni rukhsa kuelezwa,uongo ni dhambi.

Rais ni Mtumishi wetu na si Malaika au Mungu wa kuabudu na kusifu.
 

ALidai eti kwenye maghala tani zilizopo ni 10,000 tu ,AJABU kweli kweli.NA SASA TAYARI WATANZANIA WAMEMUAMINI TENA.MKAPA ALIKWISHA SEMA SISI NI MALOFA TU, HATUFIKIRIII KABISA. TUMUULIZE MH. ZITTO ILE NJAA WAPI ??? LEO GUNIA LA MAHINDI NI 40,000 HADI MUDA HUU.
 
Sehemu zingine ni 35 mkuu hadi sasa.
 
well said mkuu! huyu banyamulenge chama chake kimemshinda anahangaika tu!!
 
Your man has a whole lotta 'splainin to do, dude. Why London and Whitey? As far as 'tigritude" and negritude" as your bookish illustration is concerned, he may as well explain the "Wazalendo" part in ACT-Wazalendo.

What if he had gone to Zimbabwe? Would that have made him more believable? And his argument more credible just because he consulted 'blacks'? You sound racist actually.
 
What if he had gone to Zimbabwe? Would that have made him more believable? And his argument more credible just because he consulted 'blacks'? You sound racist actually.
He should have sought the advice right here from homegrown economists with a feel for the country and its people, of which there plenty of. Instead he'd rather hang out with White British people at the British Council, British Labor Party and British Broadcasting Corporation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…