The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Takwimu za TCRA zinaonyesha kwamba mtandao wa kijamii wa facebook unaimilikiwa na kampuni ya meta bado ndio mtandao unaotumiwa na watu wengi zaidi Tanzania kuliko mtandao wowote ule.
Kwa mujibu wa TCRA, kiwango cha data kinachotumika kwenye Mtandao wa facebook ni sawa na data zinazotumika kwenye mitandao mingine yote kwa pamoja.
Ushauri, kama wewe ni mfanyabiashara, wekeza zaidi Facebook na kuweka matangazo ya bidhaa zako zaidi Facebook kuliko kwenye WhatsApp Status na mitandao mingine.