Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi hesabu zako umezitoa wapi?Hata kama.... Mzee gb 200000 kwa miez 2 sio mchezo.. kwa wastan kwa siku unatumia gb 9000 ... Je inawezekana
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
Ndo atatumia gb 33,000 kwa siku???Umejiuliza wanaotumia wi-fi wanatumia MBs ngap kwa siku?
Mfano wew ukipata nafasi ya kutumia wi-fi huwa unatumia MBs ngap kwa muda mchache tu
Kwa kua huna akili huwezi kujua ulichokiandika maana yake.We umeona hayo maandishi niliyoandika yana ubaya au umejiongeza nje ya box uonekane great thinker
Facebook sihami huwa nacheka sana hasa kwenye groups hukoo 🤣🤣🤣🤣 vituko sanafb hakuishiwagi vituko beginners wengi wa social media wapo kule basi ushamba ushamba fulani na vituko kama vyote. Nina mwaka wa 4 sijaingia fb