The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Bila kumsahau ZuwenaFacebook ni balaa kule kuna kila mtu kianzia bek 3,mama mkwe,mchepuko,siwema
Hizi takwimu nina wasiwas nazo... Hii ina maanisha kwa kila mtanzania anatumia zaidi ya Gb 1000 kwa jumla ya miezi 2..Takwimu za TCRA zinaonyesha kwamba mtandao wa kijamii wa facebook unaimilikiwa na kampuni ya meta bado ndio mtandao unaotumiwa na watu wengi zaidi Tanzania kuliko mtandao wowote ule.
Kwa mujibu wa TCRA, kiwango cha data kinachotumika kwenye Mtandao wa facebook ni sawa na data zinazotumika kwenye mitandao mingine yote kwa pamoja.
Ushauri, kama wewe ni mfanyabiashara, wekeza zaidi Facebook na kuweka matangazo ya bidhaa zako zaidi Facebook kuliko kwenye WhatsApp Status na mitandao mingine.
View attachment 2510888
Hizo hesabu zako umezipigaje mkuu?Hizi takwimu nina wasiwas nazo... Hii ina maanisha kwa kila mtanzania anatumia zaidi ya Gb 1000 kwa jumla ya miezi 2..
Wastani tanzania nzima tupo mil. 60.. kwa hyo tukiangalia kimahesabu hapo kwa kila mtanzania anatumia gb1000 kwa miez 2.
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
Kuna ubaya wao kua facebook?Facebook ni balaa kule kuna kila mtu kianzia bek 3,mama mkwe,mchepuko,siwema
Chukua trili 90 gawanya kwa idadi ya watumiaji wa internet ambao ni mil 30... Ambayo utapata zaidi ya laki 300000, so ina maanisha kwa kila mtanzania anae tumia intenet anatumia gb 300000 kwa miez 2 kwa ajili ya facebook... Ambacho hko kitu sio kwel..Hizi takwimu nina wasiwas nazo... Hii ina maanisha kwa kila mtanzania anatumia zaidi ya Gb 1000 kwa jumla ya miezi 2..
Wastani Tanzania nzima tupo mil. 60.. kwa hyo tukiangalia kimahesabu hapo kwa kila mtanzania anatumia gb1000 kwa miez 2.
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
Acha tu πππpHub je ?
pHub je ?
View attachment 2511113
Watumiaji wa Facebook wametumia kiasi cha Gigabytes (GB) Trilioni 90.1 katika kipindi cha Robo ya mwisho ya mwaka 2022 (Oktoba - Desemba).
Mtandao wa YouTube unafuatia kwa Watumiaji wake kutumia kiasi kikubwa cha Intaneti kilichofikia Gigabytes (GB) Trilioni 34.97 kwa kipindi cha miezi 3.
Kwa mujibu wa Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA), idadi ya Watumiaji wa Intaneti hadi kufikia Desemba 2022 ilikuwa Milioni 31.1.
TCRA 2022
Mnajifanya wasomi na wenye akili, acha sisi tuendelee na facebook huko ndio kuna maisha halisiKumbe watumiaji wa twitter tuko wachache sana au kwa kuwa haitumii MB nyingi
Huku tuko wengi ni kucheza na VPN tuNyie ndo mnafanya bei ya bando inaongezeka