Facebook bado ni baba wa mitandao Tanzania

Kuna kitu hakiko sawa kwenye hizo data, naangalia Hio chart sioni sehemu ikionesha kua ni ya tcra, so nadhani haiwezi kua data zetu hizo au Kama ni zetu hizo data ndani ya miezi mitatu basi mtoa data wa tcra atakua hatumii hata common sense


Twende kwenye hesabu, Tanzania tuna population ya kama 60M, let's assume 20M ni active Facebook users(binafsi siitumii).... Ukigawa trillion 90 kwa milioni 20

90,000,000,000,000/20,000,000=4,500,000


Milioni 4.5 za GB kwa kila mtumiaji wa Facebook hapa tz kwa siku 90! It doesn't make sense

4,500,000/90= 50,000

Yaani Gb 50,000 Kila siku kwa kila mtumiaji Facebook Tanzania? Hell no! Wengi hawafikishi hata gb 50 ndani ya miezi mitatu! So izo data either ni kwenye MBs na sio Gb au wamekosea tu sio za Tanzania
 
ni sawsawa na sh. ngapi na serikali imepata ngapi
 
Naungana na na wewe, nakubaliana na hesabu zako, hiyo data inaonesha sio ya Tanzania.
 
Umefafanua vizuri sana, kwa hesabu hizo number hazidanganyi.
 
Nimeona kwenye website Yao ni kweli wameandika ivo ivo, sasa kama watz wanatumia gb 90,000,000,000,000 ndani ya miezi mitatu Ina maana wanatumia 1,000,000,000,000gb ndani ya siku Moja! Ukigawa wa watumiaji 30,000,000( watumiaji wa internet Tanzania nzima) unapata roughly Kila mtu anatumia gb 33,000 Kila siku!!

Doesn't add up
 
Naungana na na wewe, nakubaliana na hesabu zako, hiyo data inaonesha sio ya Tanzania.
Kwenye web Yao wameandika ivo pia, yaani tuna watu incompetent sana, yaani hizo data za Facebook tu, bado wakajaza sijui trillion 34 YouTube, bado IG yaani wamekosea vibaya sana!
 
Kwa hiyo, wanalalamika au?
 
Hapa ndio uone kuwa haya makampuni ya simu yanatengeneza pesa ya kutisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…