Facebook ilinikutanisha na mke wa mtu, sasa najuta

Repent is not too late , since you are ready to change .. Weka sawa na Mungu wako then confess to your wife tell her what happened everything ili likija kutokea lolote awe by your side .. Ad please never cheat again .. Good luck.. Thanks..
Hapo kwenye kumwambia ukweli wife ndio shida labda kama kuna njia nyingine ya kufanya maana nitakuwa nijikaanga na mafuta yangu mwenyewe
 
wife wake alienda kwenye mishemishe zake naye hiyo jpili.
mtendwa hutendwa..mla vya watu naye vyake huliwa.
Hahahahhaaaaa.... Dear I don't think so she cheated on him.. Angekwishajua long time ago.. Some women huwa tuna mengi ya kufanya to keep ourselves busy without cheating .. Thanks..
 
wife wake alienda kwenye mishemishe zake naye hiyo jpili.
mtendwa hutendwa..mla vya watu naye vyake huliwa.
Nitatubu tu mwenyezi Mungu nakumuomba aniepushe na hiki kikombe aisee sijawahi kuwa kwenye pressure kama hii
 
Hapo kwenye kumwambia ukweli wife ndio shida labda kama kuna njia nyingine ya kufanya maana nitakuwa nijikaanga na mafuta yangu mwenyewe
If you are ready to change then you will do it .. Trust me there is the meaning behind on what I told you .. I want you to have full of mercy from God .. And you can't have full mercy if you don't full repent .. If its really your wedding wife at church do it .. Confess your sin unto her so you can be free.. You don't look for people mercies but God's mercies and full of forgiveness ... Thanks..
 
sijawahi chepuka zaidi ya huyu na ninajutia hili nitajaribu kuangalia namna ya kuongea na wife na kwasasa sina mawasiliano tena na huyu mama
 
Hongera sana Mkuu! Hapo jitahidi KY isiwe inakaa mbali! Vinginevyo siku yakitokea ya Kutokea utaumia sana!
 
sijawahi chepuka zaidi ya huyu na ninajutia hili nitajaribu kuangalia namna ya kuongea na wife na kwasasa sina mawasiliano tena na huyu mama
Yes dear do that.. But before you do talk to your wife.. Ask God for the wisdom and Holy Spirit to lead you on that.. Ili yatakayotoka kinywani mwako yasiwe your words but God's word.. I'm sure she will forgive you ... And after that never cheat with anyone again.. Thanks..
 
Back
Top Bottom