Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

Ndio maana niliachana na huu mtandao wa kijinga miaka mingi sana.

Hawa akina Elon wametumwa na shetani.
 
TCRA watafanya nn ndugu? Fb ni dhaifu ndio maana ilihackiwa juzi hapa .

Wale hackers wanachukua mpaka account za watu ,wana namba za kenya wanajifanya watu wa UNICEF.
Kichekesho!

Eti wanagawa fedha za msaada, wanadai uwatumie laki ili wakutumie millioni 2. Something!

Nikawa nashangaa, mbona wanatumia njia za kuscam za kizamani sana, kuna watu watao waokota kweli?
 
Kichekesho!

Eti wanagawa fedha za msaada, wanadai uwatumie laki ili wakutumie millioni 2. Something!

Nikawa nashangaa, mbona wanatumia njia za kuscam za kizamani sana, kuna watu watao waokota kweli?
Bora hao wakianza tu hizo stories unajua hawa ni matapeli lakini hii ya kuweka picha za ngono kwenye profile yako kila rafiki yako anaona uchafu wako hii ni mbaya zaidi aisee
 
Aisee nilijisikia aibu kuna moja mtu mzima kama kai reply hivi,uboo uko juu ya K
 
Ni wao wenyewe ndio wanafungua link kutaka kuangalia video?πŸ˜‚
 
Bora hao wakianza tu hizo stories unajua hawa ni matapeli lakini hii ya kuweka picha za ngono kwenye profile yako kila rafiki yako anaona uchafu wako hii ni mbaya zaidi aisee
Hii nimeiona nikashangaa na kulog off Fb.
Hizo picha ni za ngono kweli yaewzekana wahusika wakawa si wa nchi hii.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
kuna mmama kanipa simu nifute kabisa iyo account ya fb sababu ya izo picha watoto wake huwa wanashika simu yake kucheza game wasije kuona hizo mambo.

ila kwa chaputa wanaona ni neema kwao tena wanashukuru mpaka wanatokwa machozi kwa furaha.
 
Facebook ni mtandao wa kishamba sana kwa namna ya interaction kati ya watu. Hauna privacy.

Ni mtandao ambao upo out of touch.
Privacy fb unaitengeneza wewe mwenyewe, ni vile watu wengi hawajui kuitumia.

Ukienda kwenye settings zake kuna option kibao, na sasa hivi wameonheza na anonymous posts.
Ni wewe tu.
 
Aisee baada ya kusoma hapa si nikaenda kuangalia FB yangu! mamaaa!

Ujinga kabisa na nina mda mrefu sana siingii huko saiv naangalia nakutana na rafiki yangu kanitagg khaa!

Nimeblock kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…