4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
badili password na kisha , nenda setting zuia tag weka only meYaan kwangu ndo tabu tupu, nilikuwa na mazoea ya kufungua facebook mbele ya watoto lakin kwa sasa nimeogopa. Marafik wengi wanaconnectiwa (tag) kwenye post za picha za ngono, mwanzon nilianza ku unfriend na ku unffolow yoyote waliyemtag na picha chaf, nimefanya hivyo lakin bado tu. Sasa kuna jipya tena, kuna ma kurasa ya animation (yaan picha kama za michoro vile) za uchi. Nimeyablock lakn yanamiminika kama maji. Hata mim nataka msaada kwa hilo.