Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutajua alikua anataka kupata burudani ya macho!!!Watu wanadhalilishwa sana huko Fb 😂
Tukiona hizo picha/video zimepostiwa kwenye akaunti yako, tutajua sio wewe uliye post(Ila ulijaribu kutaka kuifungua/kuiona hio picha/video)
😂😂
🤣Tutajua alikua anataka kupata burudani ya macho!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna mmama kanipa simu nifute kabisa iyo account ya fb sababu ya izo picha watoto wake huwa wanashika simu yake kucheza game wasije kuona hizo mambo.
ila kwa chaputa wanaona ni neema kwao tena wanashukuru mpaka wanatokwa machozi kwa furaha.
Nashukuru sana mkuu nimepiga pini zote! wajinga sana hawa jamaa unakuta kwenye account yako watu wanapelekeana moto na mwezi mtukufu huu inakuwa balaa kubwa.Nendeni setting then profiling and Tagging kwenye viewing and Sharing chagua ONLY ME na tagging zote Only me hawataweza kuku hack
Hapana sijawahi ona....sijui labda sikuhizi ndo zipo maana Facebook nilishaipotez
Wala sio hvyo hao ni kama hackers utakuta umepost kwenye page yako bila kujua ni suala la setting..Unaona ngono kwa sababu upo intested na pages zinazohusiana na habari za ngono ngono.
Mimi napenda sana michezo, nikifungua fb habari nazokutana nazo sana ni za kuhusu michezo hasa mpira wa miguu.
Unaweza usilike hizo pages lakini kitendo cha kuruhusu kuona taarifa zao mara kwa mara filter ya fb inang'amua kuwa unapendelea hayo na itakuwa inakusogezea mbele kabisa.
Mimi recently Kila nikifungua Twitter, nakutana na hizo zagaWandugu mi sielewi. Ni muda Sasa tangu nianze kuona hizi picha yaani saizi hata kufungua mbele za watu Facebook naogopa maana lazima nizikute picha za ngono. Sijui wengine mnaziona pia daaa!
Nenda setting kwenye tag.. weka only me..
U akuwa hujaruhusu mtu kukutag
Wewe unachosemea ni tagging, kwa nilivyomuelewa mleta mada anamaanisha akifungua tu homepage. Labda kama sio hivyo aelekeze hapa.Wala sio hvyo hao ni kama hackers utakuta umepost kwenye page yako bila kujua ni suala la setting..
Hzo unazosema ww ni favourite news pages zako
badili password , me ilitokea nlibadili passwordNimefanya hivyo yanazidi kuja tags imebidi ni deactivate bado kidogo naachana na Facebook milele