Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
- #81
Rais mpya huwa anaingia na timu yake kama alikuwa balozi wa Uholanzi yeye ndio alimpeleka USA angeweza kumpiga chini
Masilingi alipelekwa na Kikwete uholanzi na Marekani siyo na Magufuli.
Magufuli anaweza kuwa ameextend muda wake wa ubalozi, lakini alimkuta hapo ubalozini Marekani keshateuliwa na rais aliyemtangulia (yaani Kikwete). Hata kiapo cha uteuzi Masilingi alikula mbele ya Kikwete siyo Magufuli