Fact Checking: Rais Magufuli hukumteua Masilingi kuwa Balozi Marekani baada ya kumaliza Ubunge wa Muleba

Rais mpya huwa anaingia na timu yake kama alikuwa balozi wa Uholanzi yeye ndio alimpeleka USA angeweza kumpiga chini

Masilingi alipelekwa na Kikwete uholanzi na Marekani siyo na Magufuli.

Magufuli anaweza kuwa ameextend muda wake wa ubalozi, lakini alimkuta hapo ubalozini Marekani keshateuliwa na rais aliyemtangulia (yaani Kikwete). Hata kiapo cha uteuzi Masilingi alikula mbele ya Kikwete siyo Magufuli
 
Mkuu Missile of the Nation, kwanza Asante kwa bandiko lako la facts checking na asante kutuwekea video clip ya Magufuli alichosema Muleba, Magufuli is very right.

Amesema Masilingi aliteuliwa balozi baada ya kumpisha jimbo Mama Tibaijuka, hata kama mwanzo aliteuliwa na JK, baada ya Serikali mpya kuingia madarakani, Rais mpya anawateua upya mabalozi wote, ma RC wote na ma DC wote, hata kama mwanzo waliteuliwa na mtangulizi wake, re appointment amefanya yeye, hivyo he is right Magufuli amemteua Masilingi.

Moja ya sifa za ziada za Magufuli ni Mkweli Daima!.

Nawashauri Watanzania wenzangu, Wazalendo wa kweli wanaolitakia mema taifa hili, October 25 tusifanye malisa!.
P
Hata kama ame mu extend/ confirm - mimi najua hiki kwa sababu mzazi wangu aliteuliwa na rais mmoja, akawa confirmed kuendelea kazini na rais mwingine, lakini bado alichosema Magufuli, kama kasema kweli kwamba yeye ndiye aliyemteua, ni half truth.

Kwa sababu anatoa impression kwamba yeye ndiye aliyetoa original appointment na si ku re affirm tu.

Mara nyingi walioteuliwa wanakuwa re affirmed as a matter of formality, unless mtu awe na scandal kubwa kafanya hapo kati.

Wewe muandishi wa habari, unajua kwamba, kama unaandika article, kwa journalistic integrity, unatakiwa kutofautisha original appointment na confirmation inayotokea baada ya rais mpya kushika madaraka.

Magufuli hana interest sana na facts, ana interest na siasa.
 
Kama anafanyiwa extension kiapo cha nn? Tambua Magufuli alikuwa na uwezo kikatiba wa kutengua uteuzi wa Masilingi toka siku Magufuli alipo apa kuwa Rais wa JMT 2015.

MASILINGI yupo USA kwa appointment ya JPM huo ndo ukweli aliosema JPM jana kwa ujumla wake. Nakusisitiza kuelewa general concept ya maneno ya JPM Jana na si sentesi moja tu. Otherwise una nia yako tofauti ktk hili.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Ukweli unabaki pale....Masilingi hakuteuliwa na Magufuli au MEKO, Aliteuliwa na Kikwete kwa hiyo asiseme uongo, ndiyo alikuwa rais 2015 lakini hakumteua. Sijaona mtu muongo na msahaulifu kama hilo Magufuli. HAONI HATA AIBU...kwani akisema ukweli anakosa nini?
 
wewe ni mhutu nini kama unayemtetea ? manake nawasiwasi na uelewa wako wa lugha ya kiswahili.
Hivi Kumteua mtu kwenye kazi ni sawasawa na kumuongezea Muda Mtu kwenye kazi?
Kweli kabisa ubongo wako unafikiria sawasawa we mburura?
Nafasi ni ya uteuzi, rais akisema endelea kuwa balozi ni sawa amekuteua tena. Au ulitaka usikie amaetangaza ndio uelewe.
Wewe kinachokusumbua ni kuwa akili zako zimejaa kinyesi ndio maana unapost mavi.
 
Hata kama ame mu extend/ confirm - mimi najua hiki kwa sababu mzazi wangu aliteuliwa na rais mmoja, akawa confirmed kuendelea kazini na rais mwingine, lakini bado alichosema Magufuli, kama kasema kweli kwamba yeye ndiye aliyemteua, ni half truth.

Kwa sababu anatoa impression kwamba yeye ndiye aliyetoa original appointment na si ku re affirm tu.

Mara nyingi walioteuliwa wanakuwa re affirmed as a matter of formality, unless mtu awe na scandal kubwa kafanya hapo kati.

Wewe muandishi wa habari, unajua kwamba, kama unaandika article, kwa journalistic integrity, unatakiwa kutofautisha original appointment na confirmation inayotokea baada ya rais mpya kushika madaraka.

Magufuli hana interest sana na facts, ana interest na siasa.

acheni kuwa mazuzu jamani uu msamiati wa ukweli nusu ndio nimeanza kuusikia leo.
Ukweli ni Ukweli tu hakuna cha Ukweli Nusu au Uongo nusu .
Ukweli Magufuli kadananya umma hajamteua Masilingi kuwa Balozi Marekeni yeye kaingia madarakani kamkuta
 
Aseme basi alimuidhinisha kwa mara nyingine tena kwa kuona anafanya kazi nzuri huko ubalozini. Kama kuteuliwa alishateuliwa na JK, na jpm hakutengua.
 
acheni kuwa mazuzu jamani uu msamiati wa ukweli nusu ndio nimeanza kuusikia leo.
Ukweli ni Ukweli tu hakuna cha Ukweli Nusu au Uongo nusu .
Ukweli Magufuli kadananya umma hajamteua Masilingi kuwa Balozi Marekeni yeye kaingia madarakani kamkuta
Tatizo ni kwamba, msamiati wako mdogo.

Kama ndiyo leo unasikia msamiati wa "half truth", tunatofautiana mengi sana na sitegemei uweze kunielewa.

Ni bora nimfundishe sisimizi String Theory.

String Theory nayo ushawahi kuisikia?

Maana kama ndiyo leo unasikia "half truth", inawezekana kuna mengi sana ninayojua huyafahamu.

Bishana na kamusi sasa.

From www.dictionary.com

half-truth

/ˈhaf ˈˌtro͞oTH/

noun

a statement that conveys only part of the truth, especially one used deliberately in order to deceive someone.

"the nuclear industry has often resorted to half-truths and cover-ups"

Definition of HALF-TRUTH

Definition of half-truth

1: a statement that is only partially true

2: a statement that mingles truth and falsehood with deliberate intent to deceive
 
Magufuli hakutengua uteuzi wa Masilingi
Alikuta Masilingi keshateuliwa na Kikwete
Kwa hiyo siyo sahihi Magufuli kudai kuwa yeye ndiye aliyemteua Masilingi.
 
alimdanganya nani? na alimdanganya nini?
Baba watu wakisha piga kunako, kimbia tu! 🏃‍♀️🏃🏽‍♂️Kwanini ung’ang’anie wakati gemu imeisha? Utamsababisha jamaa afukue makaburi zaidi!!
 
nyumbu ni nyumbu tuu
HIv ata jinsia yako unaijua kwel?
 
Nafasi ni ya uteuzi, rais akisema endelea kuwa balozi ni sawa amekuteua tena. Au ulitaka usikie amaetangaza ndio uelewe.
Wewe kinachokusumbua ni kuwa akili zako zimejaa kinyesi ndio maana unapost mavi.
wewe ndio akili zako zimejaa kinyesi, nani kakwambia nafasi zote za uteuzi wa Rasi , raisi mpya akiingia madarakani lazima ateue upya.
Nyingi tu anaendelea nazo na akiamua kumbadilisa anambadilisha baadae.
Nikupe mfano wa Katibu Mkuu Kiongozi Sefue, alipoingia madarakani Magufuli aliamua kuendelea naye kwa muda , na baadae akamtengua.
Kwa akili zako mavi unataka kutuaminisha kwaba alivyoingia madarakani alimteua Sefue kuendelea naye halafu baadae kidogo akamtengua akisema atampangia kazi nyingine.
Nakueleweasha kitu wewe mbulula, pamoja na instruments nyingine zinazoambatana na uteuzi wa Rais , Instrument moja muhimu ni kula kiapo na kukisaini mbele ya Mteule yaani Rais (dhama kubwa ya uteuzi wa Rais ipo hapa we mjinga nazani unavyoona watu wanaapiswa na Raisi sijui unaelewa nini pale nahisi hufaamu kitu wala maana ya kiapo)
Sasa jiulize ni lini Masilingi aliapa mbele ya Magufuli , wakati kiutaratibu ni lazima kila mteule wa Rais kabla ya kuanza kazi ni lazima ale kiapo cha utii mbele ya Raisi aliyemteua?
 
Akili yako imejaa mavi na unakunywa gongo la mavi. Kula kiapo mbele ya rais sio kuwa ndio ishara pekee kuwa rais amekuteua.Kitendo cha kuacha undelee na uteuzi, impliedly amekuteua na umekula kiapo. Kwa sababu huna akili na unakariri ndio maana ulitaka uone Masilingi anaapa ikulu.
 
Tatizo ni kwamba, msamiati wako mdogo.

Kama ndiyo leo unasikia msamiati wa "half truth", tunatofautiana mengi sana na sitegemei uweze kunielewa.

Ni bora nimfundishe sisimizi String Theory.

String Theory nayo ushawahi kuisikia?

Maana kama ndiyo leo unasikia "half truth", inawezekana kuna mengi sana ninayojua huyafahamu.

Bishana na kamusi sasa.

From www.dictionary.com

half-truth

/ˈhaf ˈˌtro͞oTH/

noun

a statement that conveys only part of the truth, especially one used deliberately in order to deceive someone.

"the nuclear industry has often resorted to half-truths and cover-ups"

Definition of HALF-TRUTH

Definition of half-truth

1: a statement that is only partially true

2: a statement that mingles truth and falsehood with deliberate intent to deceive
Na ukweli nusu ni Sawa Sawa na uongo! Ile nusu hufichwa ili ku-deceive!
 
Nimeongelea kuhusu Ukweli Nusu na sio " half Truth",
Niletee kamusi yenye neno Ukweli Nusu ndio nitakuelewa, kiswaili hakina msamiati ukweli nusu au uongo nusu.
la sivyo nimekuelewa hivi "a statement that mingles truth and falsehood with deliberate intent to deceive"
Kwa hiyo hiyo "half truth " madhumuni yake ni kudanganya ndio maana tunasema magufuli kadananya na hata huo msamiati "half truth " kwa kiingereza maana yake ni kudanganya ila ni katika kuficha ukali wa kutumia neno False
 
Pascal unweza kuthbtisha magu n muwaz kwa kufcha Atcl kwny ofis yke manunuz ya ndge htujui hta bei 1.5T je usshau kagera altafuna ela japo jna wmemzomea iv nyie mnaosemga ameshushwa hua mnfkria kitumia nn mbn hua swaelew tangu aingie maish ymekua magumu(Kuna mtu atasema fanya Kaz hta hao matajir wanalia Hali mbaya hkuna ambae hfnyi kazi) kwaio Pascal toka usngzin huyu n mwizi tu hna lolote
Kwanza kajifunze kuandika ndo uje tena kukoment.
 
nyumbu ni nyumbu tuu
HIv ata jinsia yako unaijua kwel?
Jinsia naijua, pia kwenye nyumbu sipo! Hata Wewe siyo nyumbu, lakini pia hapa siyo swala la jinsia, hapa jamaa ameweka vielelezo, alichosema Baba ako na uteuzi wa Masilingi, Wewe unabishana na facts! Usipaniki, watu wakikuzidi hoja, unaachana nayo, kwani ni lazima utokwe na povu jiiingi?! Kunywa maji jitulize, alafu kafanye mambo mengine!
 
Akili yako imejaa mavi na unakunywa gongo la mavi. Kula kiapo mbele ya rais sio kuwa ndio ishara pekee kuwa rais amekuteua.Kitendo cha kuacha undelee na uteuzi, impliedly amekuteua na umekula kiapo. Kwa sababu huna akili na unakariri ndio maana ulitaka uone Masilingi anaapa ikulu.
kawadanganye wajingawajinga wenzako wewe mbulula , Ukiteuliwa na Rais ni lazima ule kiapo mbele yake HII NI LAZIMA NA NI MUST ni takwa la kikatiba na kisheria,
So uwezi kusema Masilingi kateuliwa na Magufuli kwani hakuapishwa na yeye. Mjinga mkubwa we na akili yaki imejaa mavi kama unayemtetea
 
Meko kazoea uongo,ni kama alivyodanganya milioni 50 kila kijiji
 
Nimeongelea kuhusu Ukweli Nusu na sio " half Truth",
Niletee kamusi yenye neno Ukweli Nusu ndio nitakuelewa, kiswaili hakina msamiati ukweli nusu au uongo nusu.
la sivyo nimekuelewa hivi "a statement that mingles truth and falsehood with deliberate intent to deceive"
Kwa hiyo hiyo "half truth " madhumuni yake ni kudanganya ndio maana tunasema magufuli kadananya na hata huo msamiati "half truth " kwa kiingereza maana yake ni kudanganya ila ni katika kuficha ukali wa kutumia neno False
Kwani mimi nimeandika "ukweli nusu" au "half truth"?

Na wapi nilisema Magufuli hakuwa na nia ya kudanganya?

Umejua maana ya half truth sasa?

Au bado unataka kubishana mpaka na kamusi?
 
Back
Top Bottom